mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Tetesi kutoka Lumumba na Dodoma ni kuwa mwenyekiti wa jumuia ya wazazi nchini Bw.Abdallah Bulembo amekalia kuti kavu.Hii ni siku chache kabla ya mwenyekiti mpya wa CCM kushika kiti .
Tetesi zinadai mwenyekiti mpya amedai hayuko tayari kufanya kazi na viongozi wa idara na jumuiya ambao hawana sifa za kitaaluma kuongoza idara hizo zilizo chini ya CCM.
Taharifa zinadai watu wameanza kampeni za chini kwa chini kuirithi nafasi yake Bw.Majura aambaye inasemekana elimu yake inatiiwa shaka.