Pamputi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 982
- 724
Mwinyi ana diploma ya kiswahili1 Nyerere Ualimu
2 Mwinyi cjui
3 Mkapa HKL
4 Kikwete Uchumi
5 Maguful Engineering
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwinyi ana diploma ya kiswahili1 Nyerere Ualimu
2 Mwinyi cjui
3 Mkapa HKL
4 Kikwete Uchumi
5 Maguful Engineering
Siasa ni mipango na sera katika kila ngazi, iweje elimu isihitajike? Ndiyo maana siasa Tanzania imeshindwa kuleta tija katika jamii kumbe wanaoshiriki (wanasiasa) wengi wao ni mbumbumbu. Siasa siyo porojo bali ni fikra yakinifu.Sio kweli kwenye Siasa Elimu does not matter!
Duuhnadhani ya kujua kusoma na kuandika
Wakuu,
Dulah Bulembo huyu ni mtu ninayemkubali sana katika siasa zetu,
lakini sijaifahamu (background) yake naomba japo mwenye kufahamu kidogo kuhusu elimu yake atupie, natamani kumjua kiongozi wangu karibu.
Tetesi kutoka Lumumba na Dodoma ni kuwa mwenyekiti wa jumuia ya wazazi nchini Bw.Abdallah Bulembo amekalia kuti kavu.Hii ni siku chache kabla ya mwenyekiti mpya wa CCM kushika kiti .
Tetesi zinadai mwenyekiti mpya amedai hayuko tayari kufanya kazi na viongozi wa idara na jumuiya ambao hawana sifa za kitaaluma kuongoza idara hizo zilizo chini ya CCM.
Taharifa zinadai watu wameanza kampeni za chini kwa chini kuirithi nafasi yake Bw.Majura aambaye inasemekana elimu yake inatiiwa shaka.
We jamaa dahVipi mkuu bado?