bridalmask
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,195
- 1,169
Mnajuaga mnakuwa makenge cjui niseme unachagua GIZA na MTU si utachagua mtu.Kuna uchaguzi gani sasa wakati ni one man show/contester?Mkuu acha unafiki, mwenyekiti hana cha kufanya katika hilo, maana amechaguliwa na sio kuteuliwa. Hapo labda adondoke kwenye uchaguzi ujao
You ma run alone You may see Your a Champion.
Tetesi kutoka Lumumba na Dodoma ni kuwa mwenyekiti wa jumuia ya wazazi nchini Bw.Abdallah Bulembo amekalia kuti kavu.Hii ni siku chache kabla ya mwenyekiti mpya wa CCM kushika kiti .
Tetesi zinadai mwenyekiti mpya amedai hayuko tayari kufanya kazi na viongozi wa idara na jumuiya ambao hawana sifa za kitaaluma kuongoza idara hizo zilizo chini ya CCM.
Taharifa zinadai watu wameanza kampeni za chini kwa chini kuirithi nafasi yake Bw.Majura aambaye inasemekana elimu yake inatiiwa shaka.
Bulembo hajaiingia pale kwa elimu yake,pale kaingia kwa kujua kulamba watu fulani,usisahau kibint chake kina miaka 21 tu tayari ni mbunge wa vijana hiyo kazi yake ya kumchekesha mfalme sio ndogo