Tetesi: Abdallah Bulembo akalia kuti kavu kisa elimu yake

Tetesi: Abdallah Bulembo akalia kuti kavu kisa elimu yake

Aondoke, alichokifanya kwa shule za wazazi Tanzania hii, watoto wa wa maskini na wazazi wao ndo wanajua. Anashirikiana na headmaster mmoja aliyepo Kasulu
 
Tetesi kutoka Lumumba na Dodoma ni kuwa mwenyekiti wa jumuia ya wazazi nchini Bw.Abdallah Bulembo amekalia kuti kavu .hii ni siku chache kabla ya mwenyekiti mpya wa CCM kushika kiti .

Tetesi zinadai mwenyekiti mpya amedai hayuko tayari kufanya kazi na viongozi wa idara na jumuiya ambao hawana sifa za kitaaluma kuongoza idara hizo zilizo chini ya CCM.

Taharifa zinadai watu wameanza kampeni za chini kwa chini kuirithi na fasi yake Bw.Majura aambaye inasemekana elimu yake inatiiwa shaka
richa ya elimu ni mtu mwenye hasira za jirani
 
Mambo ya elimu ya chadema sisi ccm ukiweza manyungu,unafiki,ubazazi na umbea unatosha kuwa kiongozi.Bulembo oyeee ccm oyeee
 
Kwanini hakujiongeza mapema akajipatia na yeye ka shahada ka wizi wizi kama mwenzake Nape..!!
imekula kwake
 
Bulembo hajaiingia pale kwa elimu yake,pale kaingia kwa kujua kulamba watu fulani,usisahau kibint chake kina miaka 21 tu tayari ni mbunge wa vijana hiyo kazi yake ya kumchekesha mfalme sio ndogo
Kwahiyo mtoto wake naye anamiliki shangingi vx na mjengo wa akili?
 
Bulembo na elimu yake ya darasa la saba lazima wamtumbue..kujua kupiga makelele haitoshi..na elimu pia
 
Dogo acha bangi, Mwinyi-Ualimu, Magufuli-Mkemia
Kulikuwepo na haja gani ya wewe kuambatanisha maneno ya kifedhuri kwenye hayo masahihisho yako katika bandiko lake?
alafu nilivyomuelewa mimi ni kama kweli alikuwa hajui Taaluma ya Mwinyi ni ipi.
 
Back
Top Bottom