unajua shinikizo maana yake nini,hata abdul jumbe alichaguliwa akashinikizwa kuachia madarakaMkuu acha unafiki, mwenyekiti hana cha kufanya katika hilo, maana amechaguliwa na sio kuteuliwa. Hapo labda adondoke kwenye uchaguzi ujao
Abdul Jumbe alifukuzwa uanachama, kwa hiyo na Bulembo naye atafukuzwa, kwa kosa lipi?unajua shinikizo maana yake nini,hata abdul jumbe alichaguliwa akashinikizwa kuachia madaraka
Tetesi kutoka Lumumba na Dodoma ni kuwa mwenyekiti wa jumuia ya wazazi nchini Bw.Abdallah Majula Bulembo amekalia kuti kavu .hii ni siku chache kabla ya mwenyekiti mpya wa CCM kushika kiti .Tetesi zinadai mwenyekiti mpya amedai hayuko tayari kufanya kazi na viongozi wa idara na jumuiya ambao hawana sifa za kitaaluma kuongoza idara hizo zilizo chini ya CCM.Taharifa zinadai watu wameanza kampeni za chini kwa chini kuirithi na fasi yake Bw.Majura aambaye inasemekana elimu yake inatiiwa shaka
na lowassa ailifukuzwa uwaziri mkuu,unaambiwa tu jipime kama elimu yako inatosha kuongoza lichama likubwa kama hili lililojaa mapropesa na madaktari basi huku mkuu mwenyewe kakukazia macho na uso wa kaziAbdul Jumbe alifukuzwa uanachama, kwa hiyo na Bulembo naye atafukuzwa, kwa kosa lipi?
hii ni sifa ya kuwa mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi ya ccm? CCM kweli mna mambo!Ila ana binti mzuri kweli
DR.JPM ANAKAZI KWA AINA YA WATANZANIA TULIONA LEO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!huo ni mtazamo wako ila mtazamo wa mwenyekiti marajiwa hauko hivyo
Abdalla Bulembo ndio Abdalla Majura??Bw.Majura