Bulembo ana jisahau tuu. Hivi ndani ya Ccm ni nani wa kumnyooshea kidole mwenzake?Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo, amekiomba Chama hicho kumhoji na kumchukulia hatua za kinidhamu Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa kile alichokiita kwenda kinyume na maadili ya chama...
Bulembo ni mtu anayeheshimika ndani ya ccmHivi Burembo bado yupo na anataka kutafutiwa nafasi ahahahaaa.
Nadhani muda wake umekwisha hii ya kutoka shimoni na kujifanya kuwajibu wenzake ni kutafuta kula, kwani msemajinwa chama hayupo ?.
wanalamba sali acha watambeWazee wa ndiyoo wameanza kufurumka.
Kwasasa Bulembo ndiyo mwanaharakati huru kama Musiba.Bulembo kiboko yake ni Zitto Kabwe!
Unaweza kumhoji Mbunge kwa mambo aliyowasilisha mbungeni? Bunge ina kinga yake. Ilikuwaje system ilimruhusu kuwasilisha yale bungeni kama haikuwa interest ya Serikali ya Chama tawala? Bulembo Aache kuchanganya mambo...
Bulembo ni mtu anayeheshimika ndani ya ccm
Hujui chochote kuhusu ccm, Kaa kimya
yaani mizee mingine ni shida,ameshindwa kuchallenge hoja hata 1 ameishia kubweka tuhivi huyu jamaa burembo akili zinamtosha kweli?
Iligimate house of assembly!Kimsingi hilo bunge linapaswa kuwa la wananchi, lakini ilivyo sio bunge la wananchi maana hawana uhalali wa umma, wako huko bungeni kwa maagizo ya aliyekuwa rais kwa kupitia kiburi chake cha madaraka. Hivyo huyo Bulembo anasema hivyo maana anajua Mpina hayuko bungeni kwa ridhaa ya wananchi.
Hebu tuondoe huu utamaduni wa kila mtu akitaka kutoa au kupinga kitu basi wanakurupuka mtu huko eti achukuliwe hatua kwani mkimsikiliza hoja zake na mkachukua mazuri yake na mabaya mkaacha kuna shida gani?Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo, amekiomba Chama hicho kumhoji na kumchukulia hatua za kinidhamu Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa kile alichokiita kwenda kinyume na maadili ya chama...
Wasukuma ndio wengi na Wana kura turufu 2025, Hiiiiiiiiiiiiiiiii wabheja saaaana.
Huyu ndo mpina ninae mkumbuka mimi
WEWE MBONA ULIUZA SHULE ZINAZOMILIKIWA NA CCM HUKUPIGWA RUNGU?Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo, amekiomba Chama hicho kumhoji na kumchukulia hatua za kinidhamu Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa kile alichokiita kwenda kinyume na maadili ya chama.
Bulembo ambaye ni Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama hicho, ametoa ushauri huo katika mkutano wake na waandishi wa habari akijibu shutuma zilizotolewa na Mpina hivi majuzi baada ya Waziri wa Nishati January Makamba kuondoa tozo ya tsh. 100 kwenye lita ya mafuta.
Bw. Bulembo pia amesema hatua hiyo ya Mpina ni sawa na kumdhihaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwa alikwishalizungumzia suala hilo kwa kulitolea ufafanuzi.
Kupitia mkutano wake na waandishi wa habari, Mpina alisema kitendo hicho cha Waziri Makamba ni sawa na uhujumu uchumi, akivitaka vyombo vya uchunguzi vifanye kazi kwa madai kuwa ni kuwaumiza wananchi.
Iligimate house of assembly!