Abdallah Bulembo ataka rungu la CCM limshukie Luhaga Mpina kwa kwenda kinyume na maadili ya chama

Bulembo ni mtu anayeheshimika ndani ya ccm
Hujui chochote kuhusu ccm, Kaa kimya
Umeamua kujibu mwenyewe ahahahaaa, sasa ndg Bulembo unasema nikae kimya hebu kabla sijakaa kimya nikuulize.

Wakati ule unashinda pale nje kibarazani musoma mjini kwenye ile nyumba iliyokuwa karibu na majaruba ya mpunga, ulikuwa na idea yoyote ya siasa za ccm?.

Wakati huo kama wewe ni mwanaccm damu usikopi, nani alikuwa mshauri wa ccm kata ya nyasho hapo hapo alikuwa kwenye balaza la ushauri la wazee?.

Niishie hapo kabla sijakaa kimya.
 
Mpk Sasa cjaona Nani anaweza kuahvyo labda kalemani mbna sioni wa kuwa magu hata 50 % majaliwa nae kadhibitiwa hna namna
 
Mpk Sasa cjaona Nani anaweza kuahvyo labda kalemani mbna sioni wa kuwa magu hata 50 % majaliwa nae kadhibitiwa hna namna
 
Bulembo atambue sisi wapiga kura ni zaidi ya CCM
 
Rais Samia keshatoa rukhsa kwa wabunge kuisimamia serikali kwa hoja akiwa ndani ya bunge.
 
Yuko sahihi utaratibu wa ccm niwakutesa walipa Kodi au wapiga kurawake
 
Haya mambo yalianzishwa na awamu ya tano mmeona yalipotufikisha
 
mboga mboha hawapendi kuambiwa ukweli kabisa , kuna yule mzee wa aongezewe hata akikataa alazimishwe , yaani nawaangaliaga tu hawajamaa sasahivi wanavyojikausha utadhani kama sio wao, kuna watu hawana haya hata kidogo yani macho makavuuuu wanamsifia mama sasahivi, wakati walikua mijibwa koko kipindi cha shujaa
 
Hivi Burembo bado yupo na anataka kutafutiwa nafasi ahahahaaa.

Nadhani muda wake umekwisha hii ya kutoka shimoni na kujifanya kuwajibu wenzake ni kutafuta kula, kwani msemajinwa chama hayupo ?.
Kasema kipingi cha kampeni walilala mapolini mvua Yao jua lao
 
Haya mambo yalizaliwa awamu ya tano na huu ndio mwendelezo wake... Kuna wabunge wa ccm miaka Ile walishughulikiwa kusema mambo nje ya bunge ku attack serikali, mawaziri au raisi... Wakasema ni kuihujum serikali na raisi[emoji23].... Wa nacho fanya Akina mpina Kuna watu walijatibu wakati ule na wakanyamazishwa.... Siasa bhana
 
Huyu mzee anamaana anaona watanzania tunamuunga anachoongea.kwel wanatuzalau sana .
 
As far as I know CCM; huyu tayari yupo kwenye mode ya killing himself softly ..

Kashaisha...ni suala.la.muda tu...wala hakuna haja ya CCM kutoa tamko.kufanya hivyo ni kumpa mileage za bure ambazo hanazo.
Labda akose akili tu, ila akiwa na akili hata kidogo tu basi atawasumbua n hawatakuwa na cha kumfanya zaidi ya kumpa ugali tu.

Kuna watu wengi tu waliwahi kuwa na guts za kuyafanya haya ya Mpina na walidumu miaka mingi tu kwenye siasa.
 
Kasema kipingi cha kampeni walilala mapolini mvua Yao jua lao
Kundi la watoto wa vigogo ambao wazazi wao walikuwa wanachama ila kutokana na uaminifu na uadilifu hawakupata umaarufu na wenzao wengi wanaitwa vijana wa Nyerere.

Wazazi wao walichelewa kwa kujifanya wazalendo leo watoto ndiyo wanashangaa wenzao wakiogelea na bata mtoni.

Huyo Burembo anayaelewa hayo, ashukuru Mungu kupitia siasa ikamtoa ila mpira hata Mara shooting Star walimkataa!.
 
Ni vile tu hawawezi kurusu usajili wa chama kipya cha siasa ambacho kitakuwa na masalia ya wale walioaminiwa kwenye system ya JPM, na sasa wameenguliwa.

Mambo yangekuwa ni moto sana kuelekea 2025.
 
Ni vile tu hawawezi kurusu usajili wa chama kipya cha siasa ambacho kitakuwa na masalia ya wale walioaminiwa kwenye system ya JPM, na sasa wameenguliwa.

Mambo yangekuwa ni moto sana kuelekea 2025.
Tuombe kheri InshAllah
 
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…