Abdallah Bulembo ataka rungu la CCM limshukie Luhaga Mpina kwa kwenda kinyume na maadili ya chama

Mbona kipindi kile dikteta anajiamulia mambo anavyotaka hukuwahi kulalamika?!
 
We bulembo kaa utulie hivi kale kadingi kajizi ka Mali za chama ka Nani vileeeeeeeeeeee,bulembo unalikumbuka bunge la kina TUNTEMEKE SANGA, CHRISANT MAJI YA TANGA MZINDAKAYA,EDSON HALINGA,PAULO NDOBHO,DR. KINUNO MAGOTInk walikuwa wanawajambisha mawaziri na spika bungeni,bungeni lilikuwa na meno,leo wastaafu mnaanza kung'oa meno ya bunge,tunataka bunge la kinasanga, na kina mzindakaya aliyemng'oa uwaziri professor mbilinyi kwa kashfa ya minofu ya samaki kipindi hicho au mzee bulembo ulikuwa hujazaliwa, loooooooooooh kibabu we unatia aibu acha makambà ang'oke Hana lolote huyo Ni waziri mzigoooooooooooooooooooooooooooooooo naongeza sauti ya redio Ni mzigooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Kuna WAZEE wawili walikwisha FANYA MADUDU SANA wakuwa Viongozi wa CCM Miaka iliyopita.

Juzi BUNGENI WAKATI wa Kikao cha BUNGE mh.MPINA amemtaja Mh.Makamba kama ni FISADI.Badala ya Mh.MAKAMBA Kulalamika WAMEJITOKEZA wazee 2 Mzee BULEMBO na MZEE MNGEJA wakimlaumu Mh.MPINA badala ya kutaka kwanza Kujua kwanini Amesema vile na kuitaka CCM imwadhibu.
Najiuliza SUALA ni la WABUNGE na lipo Bungeni Hawa Wazee ni Watu wa Kawaida kwanini Waingilie Mijadala inayoendelea ndani ya Bunge ?

Mbona hawa WAZEE wana MAMBO yao Mabaya Waliyatenda Wakiwa Viongozi wa Ccm lakini Hawakuchapwa na CCM kama Wanavyotaka Mh.MPINA Achapwe?

MZEE BULEMBO aliwahi KUUZA SHULE ya Jumuia Ya Wazazi Mkoa wa MARA na BAGAMOYO na MZEE MNGEJA Aliwahi KUISALITI CCM na kuitukana sana alipoenda UPINZANI Je WANA USAFI GANI?

WAZEE Tulieni MAMBO ya BUNGE yatamalizwa na WABUNGE WENYEWE na SPIKA WAKE
 
Bulembo anatetea ufisadi

Ili kuhakiki ufisadi wake pamoja na wahuni wengine wa Polepole inabidi upitie kuisoma upya taarifa ya Bashiru inayohusu ukaguzi wa mali za CCM au mtafute Musiba akufinye sikio kwa siri na ndipo hapo hutashangaa na haya yanayotokea
 
Bulembo hana mvuto tena
 
Huyu bulembo ni ccm maslahi hanaga msaada kwa taifa zaidi ya yeye binafsi kufaidika

 
sasa huyu makamu wa mwenyekiti anaingilia mpaka utendaji wa serikali hata Bunge hii nchi vipi haina watu?
Ulisikia Kauli yake Siku amechaguliwa? ALisema CCM haiagizwi na Serikali, CCM inaiagiza serikali mambo ya Kufanya; Kwa Mantiki hiyo yuko right kusema makamba aguswe
 
Wasukuma ndio wengi na Wana kura turufu 2025, Hiiiiiiiiiiiiiiiii wabheja saaaana.
Hizo kura zenu mtazila Kama ni Mali Sana, aliyekuambia kura ndio zinahamua Nani hawe kiongozi,unajidanganya,au wakati wa uongozi wa msukuma mwenzenu magufuli ukufuatilia chaguzi zote zilivyokuwa zinaendeshwa chini yake!!
 
Magufuli pamoja na madhaifu yake lakn alikua anajua Sana mambo. Watu Kama hao akina bulembo ndo maana aliwatupa njee kabisa. Ni hatari Sana kwa nchi. Akili na mawazo yake yanawaza wizi tuu. Kwanini ukatae mtu kutoa mawazo yake wakati hajavunja utaratibu?
 
[emoji3] it’s very unfortunate hawa wazee wanashindwa kusoma alama za nyakati…
Mzee Kama huyu alitakiwa apumzike sio kuanza kutafuta huruma za watawala mwanae ameshakua DC akae atulie.watu wanajenga Future zao kisiasa.
 
Huyu mhuni sijui kafika darasa la ngapi maana mtindo wake wa kufikiri anaujua mwenyewe.
Sijui haoni au kuelewa matokeo ya yote anayojaribu kufanya?😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…