GE2025 Abdallah Kirungu: Kununua trekta na kuchonga barabara sio kazi za Mbunge

GE2025 Abdallah Kirungu: Kununua trekta na kuchonga barabara sio kazi za Mbunge

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Ulanga Mkoa wa Morogoro Abdallah Kirungu kupitia Chama cha Mapinduzi amewataka Wananchi kutokubali kudanganyika kwa pesa za mtu bali wamchague Kiongozi mwenye maono na uwezo wa kuwasaidia Wananchi wa Ulanga.

Kirungu ni mmoja kati ya watia nia sita waliioteuliwa na Chama Cha Mapinduzi ili kupigiwa kura na wajumbe Katika Jimbo hilo.

Soma pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Udiwani katika Uchaguzi Mkuu 2025

 
Anaonesha vidole viwili Juu akimaanisha Victory.(USHINDI)
 
Naona TISS Kila Sehemu wanataka nafasi ni aibu viongozi wa usalama kupenda nafasi za siasa
 
Back
Top Bottom