Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Dkt. Abdallah Makame(CCM) amesema kuwa waliofanya mauaji, kuvamia vituo vya polisi, maduka na kuchoma mali ni watu waliokuwa na silaha ambao mpaka sasa hawajajulikana ni kinanani hasa na walizipata wapi.
Ameongeza kuwa hata Sheikh Sharrif Majini aliuawa kwa kupigwa risasi nne na wananchi waliotoka kuvamiwa kituo cha polisi.
Ameongeza kuwa hata Sheikh Sharrif Majini aliuawa kwa kupigwa risasi nne na wananchi waliotoka kuvamiwa kituo cha polisi.