Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Kwa hiyo anaongea na kutoa taarifa ya mambo ambayo hayajui?Je,ni mwehu au anataka kufikisha ujumbe gani hasa?Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Dkt. Abdallah Makame amesema kuwa waliofanya mauaji, kuvamia vituo vya polisi, maduka na kuchoma mali ni watu waliokuwa na silaha ambao mpaka sasa hawajajulikana ni kinanani hasa.
Makame. Pigia mstariMbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Dkt. Abdallah Makame amesema kuwa waliofanya mauaji, kuvamia vituo vya polisi, maduka na kuchoma mali ni watu waliokuwa na silaha ambao mpaka sasa hawajajulikana ni kinanani hasa.
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Dkt. Abdallah Makame amesema kuwa waliofanya mauaji, kuvamia vituo vya polisi, maduka na kuchoma mali ni watu waliokuwa na silaha ambao mpaka sasa hawajajulikana ni kinanani hasa.
Sasa mbona samuya amekiri nguvu iliyotumika ilikua sawa na tukio?Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Dkt. Abdallah Makame(CCM) amesema kuwa waliofanya mauaji, kuvamia vituo vya polisi, maduka na kuchoma mali ni watu waliokuwa na silaha ambao mpaka sasa hawajajulikana ni kinanani hasa na walizipata wapi.
Ameongeza kuwa hata Sheikh Sharrif Majini aliuawa kwa kupigwa risasi nne na wananchi waliotoka kuvamiwa kituo cha polisi.
nyie subirini Trump aje awanyakue!Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Dkt. Abdallah Makame(CCM) amesema kuwa waliofanya mauaji, kuvamia vituo vya polisi, maduka na kuchoma mali ni watu waliokuwa na silaha ambao mpaka sasa hawajajulikana ni kinanani hasa na walizipata wapi.
Ameongeza kuwa hata Sheikh Sharrif Majini aliuawa kwa kupigwa risasi nne na wananchi waliotoka kuvamiwa kituo cha polisi.
Huyu bwabwa ni bora tu angekaa kimya kuliko kuendelea kumwaga maji kwenye petroli.Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Dkt. Abdallah Makame(CCM) amesema kuwa waliofanya mauaji, kuvamia vituo vya polisi, maduka na kuchoma mali ni watu waliokuwa na silaha ambao mpaka sasa hawajajulikana ni kinanani hasa na walizipata wapi.
Ameongeza kuwa hata Sheikh Sharrif Majini aliuawa kwa kupigwa risasi nne na wananchi waliotoka kuvamiwa kituo cha polisi.
U-pou-mber-vouMbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Dkt. Abdallah Makame(CCM) amesema kuwa waliofanya mauaji, kuvamia vituo vya polisi, maduka na kuchoma mali ni watu waliokuwa na silaha ambao mpaka sasa hawajajulikana ni kinanani hasa na walizipata wapi.
Ameongeza kuwa hata Sheikh Sharrif Majini aliuawa kwa kupigwa risasi nne na wananchi waliotoka kuvamiwa kituo cha polisi.