Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Ajifungue mtoto tumtazame kwanza
Mkuu usiseme hivyo. Kama Kiba ametia mimba ebu asikimbie majukumu. Ajitunzie mtoto wake kwani hiyo mimba amejipa mwenyewe?Hawa mabinti wanapenda sana shobo kwa wasanii sasa wanapata ujauzito wanaanza kulialia kwenye media atulie tu kwao wazazi wake wamuhudumie ajifungue ajitunziye huyo mtoto wake!