Abdu Kiba ampa mimba mwanafunzi wa miaka 19 na kumtelekeza

Abdu Kiba ampa mimba mwanafunzi wa miaka 19 na kumtelekeza

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Abdu Kiba anashtumiwa kumpa mimba mwanafunzi, mwanafunzi huyo anadai walikutana Instagram, kisha akampa namba yake ya simu wakawa wanachat WhatsApp ndipo walipoendelea kuwasiliana hadi kukutana na kuja kufanya mapenzi na sasa hivi amemruka
 
maika kumi na sita sura hiyo
 
Siku hizi hakuna mtu anayeweza kukataa mimba kama mwaka 1970, wakina dada na wazazi jaribuni kujua sheria za haya mambo. Msikubali kubeba majukumu peke yenu, baadae watoto wakikua ndio hawa wanaume wanajitokeza.
 
Huyu sio mtoto hata mara bonge la nyau mara abdukiba kaaa ngoja tu hiyo mimba imtulize
 
Hawa mabinti wanapenda sana shobo kwa wasanii sasa wanapata ujauzito wanaanza kulialia kwenye media atulie tu kwao wazazi wake wamuhudumie ajifungue ajitunziye huyo mtoto wake!
 
Issue sio kuwa mtu mzima au kushobokea mastaa. Ukimtia mimba msichana kutoa huduma Ni muhimu. Naona watu wengi hapa wanajitoa ufahamu Tu.
 
Yaami Hawa wasanii Ni hovyoo Sana,yaani mpaka sasa watu wanacheza peku?ajabu Sana.
 
Hawa mabinti wanapenda sana shobo kwa wasanii sasa wanapata ujauzito wanaanza kulialia kwenye media atulie tu kwao wazazi wake wamuhudumie ajifungue ajitunziye huyo mtoto wake!
Mkuu usiseme hivyo. Kama Kiba ametia mimba ebu asikimbie majukumu. Ajitunzie mtoto wake kwani hiyo mimba amejipa mwenyewe?
 
Back
Top Bottom