Abdul jitokeze hadharani usema ukweli wote wa fedha za mama Abdul. Kunyamaza kwako kunaleta sintofahamu

Abdul jitokeze hadharani usema ukweli wote wa fedha za mama Abdul. Kunyamaza kwako kunaleta sintofahamu

GRAMAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,241
Reaction score
3,800
Popote ulipo Abdul njoo hadhani kwa kuitisha press useme ukweli juu ya fedha za mama Abdul.

Tundu Lissu na Wenje wameshasema ya kwao kuhusu fedha za mama Abdul. Sasa ni zamu yako na wewe kusema kinagaubaga tujue muongo ni nani kati ya Lissu na Wenje.

Njoo baba hadharani ukate mzizi wa fitina.

Soma Pia: Kuhusu kupokea pesa za Abdul, Mbowe asema Lissu aache kuwapaka matope wenzake

Watanzania tunasubiri press yako kwa hamu zote. Kunyamaza kwako kunasababisha jambo liwe kubwa na kunafanya kila mtu atunge uongo wake.

Abdul ongea na watanzania baba.
 
Back
Top Bottom