Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho , inaeleza kwamba leo Tarehe 11/3/2023 , Kutafanyika hafla fupi ya kupokea wanachama wapya .
Shughuli hiyo ya dharula itafanyika kwenye Ukumbi wa Garden , Makumbusho , DSM na baadaye Wanachama hao wapya watapokelewa na Mwenyekiti wa Chama hicho kwenye Makao Makuu ya Chama hicho huko Kinondoni , Mkoani Dar es Salaam .
Bado haijafahamika Majina ya Wanachama hao wapya wala sababu hasa za Wanachama hao kupokelewa kwenye Ukumbi Maalum .
Usiondoke JF .
==============
UPDATES : Zaidi ya wanachama 490 wa CUF wamejiunga na Chadema , Akiwemo Abdul Kambaya , ambaye alikuwa kiongozi Mwandamizi wa CUF .