Abdul Kambaya na wanachama kadhaa kutoka CUF wajiunga CHADEMA na kupokelewa na Freeman Mbowe

Maigizo yaliyofeli kabisa. Ama kweli chadema ni matahira
Hata thelathini amekuwa kama wewe kwamba çhadema mikutano yao wanatengeza picha kumbe mwenzao mbowe hayumbi hata aondoke kiongozi gani yeye yupo imara chama chake sasa police wanalinda wakati hapo nyuma walikuwa wanawindwa juzi pale uwanja wa KIA ndiye kiongozi wakumpokea amiri jeshi
 
Mimi siwakubali CHADEMA ila Mbowe namkubali sana hana bei wala njaa. Kiukweli ni kiongozi shupavu sana, kavumilia figisu figisu nyingi sana toka nimeanza kuifahamu Chadema.
Ana moyo kiukweli huyu jamaa.
Hahah ana bei yake huyo. Samia kafika dau. Na lowasa alifika dau. Kaka hakuna mkate mgumu kwa chai. Ukubwa wa mkate unategemea wingi wa chai.
 
Hata thelathini amekuwa kama wewe kwamba çhadema mikutano yao wanatengeza picha kumbe mwenzao mbowe hayumbi hata aondoke kiongozi gani yeye yupo imara chama chake sasa police wanalinda wakati hapo nyuma walikuwa wanawindwa juzi pale uwanja wa KIA ndiye kiongozi wakumpokea amiri jeshi
Aisee hiyo iliwauma wengi sana akiwepo zzk
 
Hahah ana bei yake huyo. Samia kafika dau. Na lowasa alifika dau. Kaka hakuna mkate mgumu kwa chai. Ukubwa wa mkate unategemea wingi wa chai.
Unavyo nunuliwa wewe pale kinondoni makaburini usiku unadhani kila mtu anajiuza?
 
Back
Top Bottom