Mkuu wanasiasa wa Africa usiwape dhamana maana wanajifikiria wao kuliko wananchi Kuna Mbunge wa CHADEMA mwaka 2015 nilimuingiza Bungeni na nilimuambia Mimi sihitaji pesa yako lakini ukimaliza kuapa tutengeneze mfumo wa kuanzisha miradi midogo midogo ili kutoa Ajira kwa vijana kwa wingi lakini Jamaa alikataa wakati I spent a lot of my money kuhakikisha anapata ubunge na kurinda kula Usiku na mchana
So Jamaa alihamia dsm akajenga ghorofa na akasema haitaji siasa Tena it all about fucking mind in most Africans Politicians.