Abdul Kambaya na wanachama kadhaa kutoka CUF wajiunga CHADEMA na kupokelewa na Freeman Mbowe

Kamati Kuu ya Chadema ilimpelekea Kadi nyumbani Kwake Masaki
Shida yako uongo umeufanya ni sehemu ya maisha yako.
Lakini Jo kumbuka kuwa UONGO una hadhi sawa na yafuatayo;
*Wizi
*Uuaji
*Ukahaba
Na dhambi zote za aina hiyo. Tubu bado ungali na nafasi.
 
Mbona kama una vidonda vya tumbo sauti haitoki!
 
Shida yako uongo umeufanya ni sehemu ya maisha yako.
Lakini Jo kumbuka kuwa UONGO una hadhi sawa na yafuatayo;
*Wizi
*Uuaji
*Ukahaba
Na dhambi zote za aina hiyo. Tubu bado ungali na nafasi.
Sasa Mbowe, Baregu, Dr Slaa, Mzee Mtei na Mzee Ndesamburo walipeleka nini pale Masaki?
 
Leo wamekubadilishia "Sausage" wanazokupa kila siku nini?? Au asubuhi yote hii ushapiga Yohana Mtembezi!!??

MMGL0928.jpg

Hapa ni nyumbani kwa Lowassa!!??
 
Ni Ukweli'mchungu

Kambaya aliyetimuliwa CUF alitakiwa kupokelewa na akina Benson au John Mrema lakini siyo Mwenyekiti Mzee Mbowe

Hii inaonesha viwango vya Chadema kwenye siasa za Upinzani vimeshuka sana

Mlale unono!
Hata chogola anapokea upupu tunaona sana
 
Mbowe ameonesha unyenyekevu mkubwa kama kiongozi mashuhuri kabisa wa kuigwa!
Ni Ukweli'mchungu

Kambaya aliyetimuliwa CUF alitakiwa kupokelewa na akina Benson au John Mrema lakini siyo Mwenyekiti Mzee Mbowe

Hii inaonesha viwango vya Chadema kwenye siasa za Upinzani vimeshuka sana

Mlale unono!
 
Ni Ukweli'mchungu

Kambaya aliyetimuliwa CUF alitakiwa kupokelewa na akina Benson au John Mrema lakini siyo Mwenyekiti Mzee Mbowe

Hii inaonesha viwango vya Chadema kwenye siasa za Upinzani vimeshuka sana

Mlale unono!
Atakapo mpokea Mizengo Pinda sijui utasemaje maana mawaziri wakuu wenu wastaafu wana kawaida ya kuzira na kukimbilia CHADEMA.
 
Back
Top Bottom