Abdul Kambaya na wanachama kadhaa kutoka CUF wajiunga CHADEMA na kupokelewa na Freeman Mbowe

Ni Ukweli'mchungu

Kambaya aliyetimuliwa CUF alitakiwa kupokea na akina Benson au John Mrema lakini siyo Mwenyekiti Mzee Mbowe

Hii inaonesha viwango vya Chadema kwenye siasa za Upinzani vimeshuka sana

Mlale unono!
Mama yenu toka awe Mwenyekiti wa mchonga aliyechaguliwa kupitia form moja amebaki kuzurura huku chama chake kikimfia huku watetezi wake ni UVCCM na sukuma gang baada ya kukataliwa na vyama vyenye akili.
 
Mwenyekiti wa chama taifa ni mwenyekiti wa wanachama wote bila kujali,kipato,hadhi,elimu,rangi,dini,Wala kabila.
 
Ni Ukweli'mchungu

Kambaya aliyetimuliwa CUF alitakiwa kupokea na akina Benson au John Mrema lakini siyo Mwenyekiti Mzee Mbowe

Hii inaonesha viwango vya Chadema kwenye siasa za Upinzani vimeshuka sana

Mlale unono!
Vipi EL aliporudi magambani, alipokelewa na nani?
 
Ni Ukweli'mchungu

Kambaya aliyetimuliwa CUF alitakiwa kupokea na akina Benson au John Mrema lakini siyo Mwenyekiti Mzee Mbowe

Hii inaonesha viwango vya Chadema kwenye siasa za Upinzani vimeshuka sana

Mlale unono!
Kipi kinakuumiza kwa Kambaya kupokelewa na Mh. Mbowe wewe Mwana CCM?

Ref: Hakuna mwana CCM aliyewahi kuitakia mema CHADEMA!
 
Ni Ukweli'mchungu

Kambaya aliyetimuliwa CUF alitakiwa kupokea na akina Benson au John Mrema lakini siyo Mwenyekiti Mzee Mbowe

Hii inaonesha viwango vya Chadema kwenye siasa za Upinzani vimeshuka sana

Mlale unono!
Chadema kwa sasa ni CHAUMA kenye kelele
 
Na hilo buyu la asali mbona tunaiyona chadema ya john cheyo muda si mrefu!
Habari kama hii kwako na wale wenzako ndani ya chama cha mambuzi ilikuwa ni furaha, imekuwaje sasa hivi ni huzuni kuu? Maana unairipoti kwa unyonge kama vile unabakwa
 
Nilitegemea kuona kauli kama hii kutoka kwenu wafu Mungu awaangazie nuru huko mliko!
 
Back
Top Bottom