Abdul Kambaya na wanachama kadhaa kutoka CUF wajiunga CHADEMA na kupokelewa na Freeman Mbowe

View attachment 2545744

Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho , inaeleza kwamba leo Tarehe 11/3/2023 , Kutafanyika hafla fupi ya kupokea wanachama wapya .

Shughuli hiyo ya dharula itafanyika kwenye Ukumbi wa Garden , Makumbusho , DSM na baadaye Wanachama hao wapya watapokelewa na Mwenyekiti wa Chama hicho kwenye Makao Makuu ya Chama hicho huko Kinondoni , Mkoani Dar es Salaam .

Bado haijafahamika Majina ya Wanachama hao wapya wala sababu hasa za Wanachama hao kupokelewa kwenye Ukumbi Maalum .

Usiondoke JF .
Hongera CDM kwa kupanua wigo!
 
Mwanasiasa nguli wa siku nyingi kwenye siasa za Upinzani mh Kambaya amejiunga na Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania Bara Chadema

Source: Mwanahalisi Digital
 
View attachment 2545744

Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho , inaeleza kwamba leo Tarehe 11/3/2023 , Kutafanyika hafla fupi ya kupokea wanachama wapya .

Shughuli hiyo ya dharula itafanyika kwenye Ukumbi wa Garden , Makumbusho , DSM na baadaye Wanachama hao wapya watapokelewa na Mwenyekiti wa Chama hicho kwenye Makao Makuu ya Chama hicho huko Kinondoni , Mkoani Dar es Salaam .

Bado haijafahamika Majina ya Wanachama hao wapya wala sababu hasa za Wanachama hao kupokelewa kwenye Ukumbi Maalum .

Usiondoke JF .

==============

UPDATES : Zaidi ya wanachama 490 wa CUF wamejiunga na Chadema , Akiwemo Abdul Kambaya , ambaye alikuwa kiongozi Mwandamizi wa CUF .
Kazi ndiyo kwanza imeanza sasa.
Hapa chini ni baadhi ya wanachama wapya wakielekea ofisi kuu ya chadema kupitia Makumbusho.
 
Back
Top Bottom