Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Lengo la chama chochote cha siasa ni kushika dolaLengo la Chadema Kama chama Cha siasa ni lipi?
Kushika dola au
Kuapata wabunge na madiwani?
Ccm ndani ya miaka 60 hakuna Cha maana wamefanya labda kusema bodaboda na Mama ntilie ni Ajira .
Tunahitaji chama makini ambacho kitawakomboa wananchi kutoka katika umasikini wa Fikra , roho, na Akili .
Kwa siasa zenu sijui Kama Ccm au CDM Kama mpo serious na hii nchi hivi kweli mnaona Raha watu wanavyokula msoto bila kuwasaidia nchi imejaa rasilimali kibao lakini olaaa
Ndio maana Ma CCM,yalifanya kila hila ili atoke uenyekiti wapandikize mtu wao!!wanadhania kila mtu anaweza kuwa mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani tena kwa nchi za kiafrika!!Mimi siwakubali CHADEMA ila Mbowe namkubali sana hana bei wala njaa. Kiukweli ni kiongozi shupavu sana, kavumilia figisu figisu nyingi sana toka nimeanza kuifahamu Chadema.
Ana moyo kiukweli huyu jamaa.
Jambo ambalo watu kama wewe mnakosea ni kukaa nyumbani kwenye kochi na kusubiri watu wawaletee mageuzi. Hili halitakaa litokee. Una habari hata hiyo CCM imefika hapa ilipo kwa sababu ya wananchi kutowajibika kuiwajibisha?Lengo la Chadema Kama chama Cha siasa ni lipi?
Kushika dola au
Kuapata wabunge na madiwani?
Ccm ndani ya miaka 60 hakuna Cha maana wamefanya labda kusema bodaboda na Mama ntilie ni Ajira .
Tunahitaji chama makini ambacho kitawakomboa wananchi kutoka katika umasikini wa Fikra , roho, na Akili .
Kwa siasa zenu sijui Kama Ccm au CDM Kama mpo serious na hii nchi hivi kweli mnaona Raha watu wanavyokula msoto bila kuwasaidia nchi imejaa rasilimali kibao lakini olaaa
Jambo ambalo watu kama wewe mnakosea ni kukaa nyumbani kwenye kochi na kusubiri watu wawaletee mageuzi. Hili halitakaa litokee. Una habari hata hiyo CCM imefika hapa ilipo kwa sababu ya wananchi kutowajibika kuiwajibisha?
Hujakosea.PHILEMONI AIKAELI MBOWE aka KAMANDA WA ANGA.......Anauwezo wa kubadili Gia hatakama Klachi ni Mbovu
πππππππππππLengo la chama chochote cha siasa ni kushika dola
Ajabu unaipa Chadema jukumu la serikali, unataka iwakomboe watu kifikra kwa njia ipi? kwa nyenzo zipi walizonazo?Lengo la Chadema Kama chama Cha siasa ni lipi?
Kushika dola au
Kuapata wabunge na madiwani?
Ccm ndani ya miaka 60 hakuna Cha maana wamefanya labda kusema bodaboda na Mama ntilie ni Ajira .
Tunahitaji chama makini ambacho kitawakomboa wananchi kutoka katika umasikini wa Fikra , roho, na Akili .
Kwa siasa zenu sijui Kama Ccm au CDM Kama mpo serious na hii nchi hivi kweli mnaona Raha watu wanavyokula msoto bila kuwasaidia nchi imejaa rasilimali kibao lakini olaaa
Mkuu wanasiasa wa Africa usiwape dhamana maana wanajifikiria wao kuliko wananchi Kuna Mbunge wa CHADEMA mwaka 2015 nilimuingiza Bungeni na nilimuambia Mimi sihitaji pesa yako lakini ukimaliza kuapa tutengeneze mfumo wa kuanzisha miradi midogo midogo ili kutoa Ajira kwa vijana kwa wingi lakini Jamaa alikataa wakati I spent a lot of my money kuhakikisha anapata ubunge na kurinda kula Usiku na mchanaAjabu unaipa Chadema jukumu la serikali, unataka iwakomboe watu kifikra kwa njia ipi? kwa nyenzo zipi walizonazo?
Ili hayo yafanyike, sharti kwanza muwape serikali, wawe na nyenzo ndio na mengine yafuate, ajabu wewe unaonekana huwaamini Chadema kuongoza nchi, lakini bado unawapa jukumu la kuwakomboa watanzania kifikra!.
Padri hatakosekana humuView attachment 2545744
Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho , inaeleza kwamba leo Tarehe 11/3/2023 , Kutafanyika hafla fupi ya kupokea wanachama wapya .
Shughuli hiyo ya dharula itafanyika kwenye Ukumbi wa Garden , Makumbusho , DSM na baadaye Wanachama hao wapya watapokelewa na Mwenyekiti wa Chama hicho kwenye Makao Makuu ya Chama hicho huko Kinondoni , Mkoani Dar es Salaam .
Bado haijafahamika Majina ya Wanachama hao wapya wala sababu hasa za Wanachama hao kupokelewa kwenye Ukumbi Maalum .
Usiondoke JF .
Unaamini kabisa ni wewe pekee ndie ulimpeleka bungeni huyo jamaa wa CDM? come on!.Mkuu wanasiasa wa Africa usiwape dhamana maana wanajifikiria wao kuliko wananchi Kuna Mbunge wa CHADEMA mwaka 2015 nilimuingiza Bungeni na nilimuambia Mimi sihitaji pesa yako lakini ukimaliza kuapa tutengeneze mfumo wa kuanzisha miradi midogo midogo ili kutoa Ajira kwa vijana kwa wingi lakini Jamaa alikataa wakati I spent a lot of my money kuhakikisha anapata ubunge na kurinda kula Usiku na mchana
So Jamaa alihamia dsm akajenga ghorofa na akasema haitaji siasa Tena it all about fucking mind in most Africans Politicians.
Chama cha Walamba asali!View attachment 2545744