Abdul Kambaya na wanachama kadhaa kutoka CUF wajiunga CHADEMA na kupokelewa na Freeman Mbowe

Mwanachama mpya wa CHADEMA mh Kambaya amesema hakuna Chama Cha Siasa kinachoshughulika na maisha ya mtu baada ya kufa vyote vinashughulika na mambo ya kidunia tu

Kambaya alikuwa anawaelimisha Wananchi Wenye asili ya Pwani ya Pwani na Pwani ya bara ambao wanaweza kushangaza Kwanini amejiunga Chadema

Kambaya amesisitiza hakuna Chama Cha Siasa cha Wakristo au cha Waislamu kwa sababu havitupeleki peponi

Source: Ukurasa wa Chadema twitter
 
Yuko sahihi 100% maana wengine wanaingiza mambo ya imani kwenye vyama vya siasa.
 
Wanaenda kwa kazi maalumu ya kukifanya CDM kiwe kama CUF kwa sasa huo ndio mkakati jadidifu uliopo kwenye draft ya utekelezaji.
 
Hiki chama tangu kiundwe upya 2019/2020 kwa wenye Chama kuchukua madaraka baada ya wahamiaji kushindwa mipango yao miovu, niliwaona hawa jamaa kweli wana nia njema sana. Hata sasa imethibitika kitakuja kuleta mabadiliko makubwa. Kwa kuwapata hawa CUF maanda yake watafumua nchi nzima na kuweka network mpya na hakika kitasonga mbele sana.

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
 
U
UKo sahihi. Chama kilichosavaivu sunami ya 2019 na 2020 is not a joke.
 
Wakitokea hapo wanakwenda CCM
Mkuu ukiangalia kwa makini wanasiasa hawa wana projection za miaka 3 mbele. Mimi bado naamini kwamba,
CUF kwa baadhi ya maeneo ipo miyooni mwa watu ila imekosa viongozi, hivyo wanachama (wanasiasa) ambao wanahama Chama wanaona wanaweza kuchaguliwa na wananchi hao(kwa maana wanachama wenzao wa CUF na wanachama wa chama wanachohamia) kwenye Uchaguzi Mkuu na hivyo kuwa Madiwani ama Wabunge. Hizi ndizo karata ambazo wana Siasa wanazicheza.
 
Mbowe anataka aendelee na uenyekiti

Sisi tunamtaka Tundu Lisu
Mkuu ngoja kwanza waTZ tujifunze na kuziijua Sheria za Nchi; Huyo Ndugu naye anafa sana ila inabidi tujiandae kwenye kutenda shughuli zetu za kila siku kwa mujibu wa Sheria. Au wewe unaonaje maana inawezekana wewe umejiandaa lakini walio wengi bado. Huyo umtakaye akipata bodaboda itapakia mtu mmoja na heremet; ma V8 hutayaona, ufisadi utakoma; kwa ujumla kila mtu walau atakula keki ya Taifa.
 
Tena kama hawa jamaa wenye bendera ya rangi nyekundu ndio hatari, wanawaza tu kujenga mahoteli na kupeleka familia zao ughaibuni. Wengine mnasmbiwa tu kazi zenu laana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…