Pre GE2025 Abdul Mluya: Sisi tulishapigwa, kama CHADEMA wanataka maandamano wajipange na familia zao mbele wapate ladha yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kama yeye alishapigwa basi atuachie sisi ambao hatujawahi kupigwa .... it's our time!!
 
Mbona sisim inatumia nguvu kubwa sana kuzuia maandamano na wakat huo wanajinadi kua chadema imekufa sasa km imekufa why inawanyima raha na amani
 
Huyu ni takataka tu
 
Hivi huyu alikuwepo wakati wa DP ya marehemu Christopher Mtikila? Huyu anadhani anatetea serikali kwa kusema kuwa itawapiga wale watakao andama kwa amani kama ambavyo Kitaba inavyo waruhusu? Haaoni kuwa anaichafua serikali kwa kusema kuwa ni ya kionezi na inapiga na kuwaumiza raia wake ambao hawaiungi mkono?

Amandla...
 
VIP Bado wapo Hawa waganga njaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…