dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Hii kauli ya wenje naipenda sna ni kauli yenye kutueleza ukweli wa jambo na Watu walipokee
kwa mikono miwili
Mtoto pendwa wa rais ni mtu muungwana San ana ushawishi ndani ya serikali na ndani ya chama. Hivyo basi mm naungana na ndugu wenje kuwa Abduli alikuwa na lengo jema kumsadia ndugu yetu lissu na hata hvyo Lissu akaweka ahadi kuwa endapo Abduli atalifanikisha hili basi atakuwa rafik wake, hivyo mimi naona kbsa lisu anacho taka ni pesa zake tu Wal hana anachotaka katk uwenyekiti, kwamba lisu angepewa pesa zake na Abdul maan yake ni kwamba kelele hz za rushwa ndani ya chadema tusingesikia ila sas kelele hzi tunazosikia kwa sababu tu kuwa lisu hajalipwa na hajapewa pesa zake na Abduli Hassan
Hvyo basi ni vyema watanzAnia tumuelewe lisu hitaji lake la kupewa pesa zake na Abdul na siyo kitu kingine
Ushauri wangu wa kak etu Abdul ni huu hapa wa kuendelea kuwa muungwana kwa watu wote bila kujali itikadi za siasa, Dini. Kwa Mujibu wa mwenyeki kanda ya Victoria ni kuwa Abdul ni mtu muungwana sana
Nawazilisha kwa sas safarini kuelekea mabibo DSM
0759067712