Abdul Nondo ashinda nafasi ya Uenyekiti Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT-Wazalendo

UCHAGUZI WA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO

MWENYEKITI
Mgombea aliyeshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT Wazalendo Taifa ni Abdul Omar Nondo.

Mnamo mwaka 2018 Nondo, aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi nchini Tanzania wakati akiwa Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam kwa kipindi hicho, aliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha na kupatikana akiwa hai eneo la Mafinga mkoani Iringa

Baada ya kupatikana alifunguliwa keshi yenye mashtaka mawili ambapo moja lilikuwa ni kutoa taarifa ya uongo kwa Afisa wa Polisi wa Kituo Mafinga akidai alitekwa na watu wasiojulikana na la pili ni kutoa taarifa za uongo mtandanoni kuhusu kutekwa kwake

Mnamo Agosti 2018, alikutwa na kesi ya kujibu dhidi ya mashtaka hayo mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Iringa. Novemba 2018 Mahakama hiyo ilimuachia huru baada ya kumkuta hana hatia

MAKAMU MWENYEKITI
Seleman Misango ameshinda nafasi ya Makamu Mwenyekiti (Bara) wa Ngome ya Vijana ACT Wazalendo.

Khadija Anwary Mohammed ameshinda nafasi ya Makamu Mwenyekiti Ngome ya Vijana ACT wazalendo (Zanzibar)

Walioshinda nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu kupitia Ngome ya Vijana ACT-Wazalendo:
1. Monalisa Joseph Ndala
2. Salim Mohamed Shafi
3. Mbaraka Chilumba

Walioshinda nafasi ya Ujumbe wa Mkutano Mkuu kupitia Ngome ya Vijana ACT-Wazalendo:
1. Charles Paul Lowenge
2. Gora Shambuli Hamad
3. Hassan Abdallah Omar
4. Sharifa Mohamed Ali
5. Juma Haji Mmanga
Mbona wote wafuasi wa mtume Mohamed S.A.W hakuna mkoronto na mgalatia huko chamani aliyeomba hizo nafasi?!
 
udini na ukigoma hapo tuu, kidumu chama cha Mapinduzi
 
Hiki ni chama au madrasa??
 
Hongera A Nondo. Tumikia chama na wala usikubali kununuliwa kwani sasa hivi wewe ni bidhaa adimu kwa CCM. Angalizo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom