Abdul Nondo: Tutaanza kufanyia kazi nyumbani, siyo kwenye jengo la kupanga

Abdul Nondo: Tutaanza kufanyia kazi nyumbani, siyo kwenye jengo la kupanga

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Hawa vijana waliowahi kujiteka wanamatatizo sana.
👇
Screenshot_20221026-073829.jpg
 
Hawa vijana waliowahi kujiteka wanamatatizo sana.
👇View attachment 2398079
Ukisikia ukweli mchungu kwa wale watafuna ruzuku, michango ya wabunge na mamilioni ya Sabodo ndio huu.

Laiti nia na malengo ya yale mamilioni ya Sabodo yangefanyiwa kazi iliyokusudiwa ya kujenga makao makuu ya chama kikuu cha upinzani, basi aibu hii leo isingekuwepo kwa wenzetu.
 

Attachments

  • Screenshot_20220912-125326.jpg
    Screenshot_20220912-125326.jpg
    62.8 KB · Views: 5
kweli wazungu wanajua kucheza na siasa za kiafrica na demokrasia ikaonekana!

sawa, kila la heri!
 
TLP,CUF NA NCCR wote wana mijengo ya ghorofa.lakini bado kwa ujumla wao hawafikishi hata wanachama laki tano nchi nzima, ngoja tuone nyie watawala wa Zanzibar mtafanya nin.
CHADEMA hawana ghorofa lakini wana vitu vifuatavyo.
1. Gari aina za ford ranger karibia kila wilaya
2 Mashine za kuandikisha wanachama nchi nzima
3. Viongozi nchi nzima
4 Vifaa vya uenezi I.e bendera,mavazi,katiba,vitabu vya sera n.k nchi nzima
5. Wanachama wasiopungua milioni nane nchi nzima
6. Misingi na uongozi karibia kila kata nchi nzima
7 .Ofisi kubwa za kanda,mikoa na wilaya zilizojengwa na wanachama nchi nzima
8. Wametoa elimu ya kiraia tangu mwaka 2008 kila wilaya nchi nzima
9 Na bado 2020 walimkimbiza JIWE mpaka akaona isiwe tabu bora afe.
NYINYI ACT MMEFANYIA NINI NCHI HII?
 
Hili jengo kuna siku "watagawana mbao", take my words!
jengo hili wale Cuf Maalim Seif wanajua ni lao, hawa ACT wazalendo wao wamejichomeka hapo! mtakuja kuniambia one day!
 
Back
Top Bottom