Abdul Nondo: Tutaanza kufanyia kazi nyumbani, siyo kwenye jengo la kupanga

Abdul Nondo: Tutaanza kufanyia kazi nyumbani, siyo kwenye jengo la kupanga

Huyo Abdul hana kazi nyingine ya kufanya ukiachana na siasa??

Zito amekuafano mbaya kwa vijana.

Wa kutokutaka kufanya kazi na kuigeuza siasa kama ajira ya kudumu.
 
TLP,CUF NA NCCR wote wana mijengo ya ghorofa.lakini bado kwa ujumla wao hawafikishi hata wanachama laki tano nchi nzima, ngoja tuone nyie watawala wa Zanzibar mtafanya nin.
CHADEMA hawana ghorofa lakini wana vitu vifuatavyo.
1. Gari aina za ford ranger karibia kila wilaya
2 Mashine za kuandikisha wanachama nchi nzima
3. Viongozi nchi nzima
4 Vifaa vya uenezi I.e bendera,mavazi,katiba,vitabu vya sera n.k nchi nzima
5. Wanachama wasiopungua milioni nane nchi nzima
6. Misingi na uongozi karibia kila kata nchi nzima
7 .Ofisi kubwa za kanda,mikoa na wilaya zilizojengwa na wanachama nchi nzima
8. Wametoa elimu ya kiraia tangu mwaka 2008 kila wilaya nchi nzima
9 Na bado 2020 walimkimbiza JIWE mpaka akaona isiwe tabu bora afe.
NYINYI ACT MMEFANYIA NINI NCHI HII?
Nimecheka aisee
 
Back
Top Bottom