johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
ACT wazalendo!Naibu lazima atoke Zanupf
Hii familia haina kazi zingine tofauti na siasa. Wameona siasa Inalipa sanaMgombea wa nafasi ya Naibu Spika mh Abdulla Ali Mwinyi amesema yeye hana maneno mengi zaidi ya kumwachia Mungu mwingi wa rehema aweze kumvusha.
Mwinyi amewataka waandishi wa habari waziache mamlaka husika ndani ya chama zitimize majukumu yake na kisha wabunge wakamilishe mchakato kwa kupiga kura.
Source: ITV habari
Ndio maana yake💰💰Hii familia haina kazi zingine tofauti na siasa. Wameona siasa Inalipa sana
Ndiye makamu wa Rais 2030, subiri utaona.Hao ndio wenye nchi Sasa,wazalendo Tulieni.
Hivi Ile benz S-Series dingi yako aliyopewa na Samia inaendeshwa na Nani?
Mtu ukikulia kwenye mazingira ya wakati dingi ni presidaa lazima uone siasa ndiyo njia pekee ya kukutoa kimaisha.Hii familia haina kazi zingine tofauti na siasa. Wameona siasa Inalipa sana
Pia ukikulia mazingira ambayo baba yako ni bilionea lazima utaona biashara ndio njia pekee ya kukutoa. Ni kawaida.Mtu ukikulia kwenye mazingira ya wakati dingi ni presidaa lazima uone siasa ndiyo njia pekee ya kukutoa kimaisha.
Yaani watu watatu watoto wa baba mmoja washike nafasi za juu kwa wakati mmoja!Hii familia haina kazi zingine tofauti na siasa. Wameona siasa Inalipa sana
🤣🤣🤣 jamaa alimuuliza mpaka mkewe "hivi unaitwa nani vile mke wangu?"Huyu nae ni mtoto wa msahaulifu maarufu?
SafiMgombea wa nafasi ya Naibu Spika mh Abdulla Ali Mwinyi amesema yeye hana maneno mengi zaidi ya kumwachia Mungu mwingi wa rehema aweze kumvusha.
Mwinyi amewataka waandishi wa habari waziache mamlaka husika ndani ya chama zitimize majukumu yake na kisha wabunge wakamilishe mchakato kwa kupiga kura.
Source: ITV habari
Jamaa walishajimilikishaTunaomba hizi koo za kifalme ziendelee!
Baba IGP katika familia mtoto mmoja aje kuwa IGP
Baba CDF katika familia mtoto mmoja aje kuwa CDF
Baba CJ katika familia mtoto mmoja aje kuwa CJ
Baba DED mtoto DED.
Uwe ni utaratibu wa kawaida......
Hakuna hata mtu anafuatilia tenaHivi kuna bunge kumbe linaendelea?
Hii kitu kweli imepoteza mvuto yaani humu ndio naona habari za bunge saa hizi.