Abdulla Ali Mwinyi: Ninagombea nafasi ya Naibu Spika, tuziache mamlaka husika zitimize taratibu kisha Wabunge wapige kura

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mgombea wa nafasi ya Naibu Spika mh Abdulla Ali Mwinyi amesema yeye hana maneno mengi zaidi ya kumwachia Mungu mwingi wa rehema aweze kumvusha.

Mwinyi amewataka waandishi wa habari waziache mamlaka husika ndani ya chama zitimize majukumu yake na kisha wabunge wakamilishe mchakato kwa kupiga kura.

Source: ITV habari
 
Hii familia haina kazi zingine tofauti na siasa. Wameona siasa Inalipa sana
 
Tunaomba hizi koo za kifalme ziendelee!
Baba IGP katika familia mtoto mmoja aje kuwa IGP
Baba CDF katika familia mtoto mmoja aje kuwa CDF
Baba CJ katika familia mtoto mmoja aje kuwa CJ
Baba DED mtoto DED.
Uwe ni utaratibu wa kawaida......
 
Mgombea wa nafasi ya Naibu Spika mh Abdulla Ali Mwinyi amesema yeye hana maneno mengi zaidi ya kumwachia Mungu mwingi wa rehema aweze kumvusha.

Mwinyi amewataka waandishi wa habari waziache mamlaka husika ndani ya chama zitimize majukumu yake na kisha wabunge wakamilishe mchakato kwa kupiga kura.

Source: ITV habari
Safi
 
Tunaomba hizi koo za kifalme ziendelee!
Baba IGP katika familia mtoto mmoja aje kuwa IGP
Baba CDF katika familia mtoto mmoja aje kuwa CDF
Baba CJ katika familia mtoto mmoja aje kuwa CJ
Baba DED mtoto DED.
Uwe ni utaratibu wa kawaida......
Jamaa walishajimilikisha
 
Back
Top Bottom