Abdulla Ali Mwinyi: Ninagombea nafasi ya Naibu Spika, tuziache mamlaka husika zitimize taratibu kisha Wabunge wapige kura

Abdulla Mwinyi ndio mwenye cv kubwa kuliko wote waliochukua fomu!
 
Philemon Sarungi alikuwa mbunge na mwanae MARIA SARUNGI alikuwa mjumbe kwenye bunge la KATIBA [emoji818][emoji818]

MTEI alikuwa mwenyekiti wa CDM na Mkwewe akapata uenyekiti wa CDM [emoji818][emoji818]


Ila mtoto wa KIKWETE, MWINYI, SAMIA, MAGUFULI wakigombea hizo nafasi [emoji777][emoji777][emoji777]

ACHENI NONGWA.
 
Ahsante tumekuelewa viiizuuri sana mheshimiwa, bora nyie wamesha watengenezea maisha bora wazazi wenu hadi kifo,sio hawa watoto yatima wa uvccm.
 
Huko Ulaya na Marekani mtoto akitaka kufuata nyayo za wazazi wake anaapambana mwenyewe, huku kwetu unatumika udikteta kusimika watoto wa viongozi siio suala la babu alikuwa nani kama unavyodai. Hawa watoto unaosema babu zao walikuwa na nyadhifa gani? Kwanza baba yao hata uhuru hakupigania.
 
Uko sahihi

Wao wanapigia miyowe watoto wa maskini wajiajiri wao kutwa vimemo na kuhaha kuwatafutia watoto wao kazi serikalini na vyeo vya teuzi za kisiasa pamoja na kuwa na mihela kibao mitoto yao ni kama kuku wa mdondo hata uipe mipesa kibao haiwezi kujiajiri inataka wazazi wao wawatafutie ajira au nafasi za teuzi hata iwe na wajukuu
 
mbona makufuli hakuchagua mwanae kuwa kiongozi au ubunge
 
Hivi kuna bunge kumbe linaendelea?

Hii kitu kweli imepoteza mvuto yaani humu ndio naona habari za bunge saa hizi.

Lina mvuto wa pensheni ,mshahara Na posho

Fisi wanahangaika nalo
 
Lissu alikuwa mbunge CHADEMA, dada yake mbunge vitu maalum chadema.
Mbowe alikuwa mbunge CHADEMA, small house Joyce viti maalum chadema.
 
Nchi ya Kifalme. Muungano wa Kifalme. The best Model Worldwide.
 
Hii nchi Mamwinyi wapo tukubali! Hakuna cha demokrasia!
Ndiyo maana Baba Spika mama DED,
Kaka balozi mdogo mtu DAS,

Ukichunguza Sana wawezakuta kelele za Humphrey, huenda ni kukosa. Kila akipeleka majina ya wanafamilia, hakuna uteuzi unaowakuta!
Hii ni hulka ipo dunia nzima. Mtoto akikua karibu na Baba yake lazima aipende kazi anayoifanya.

JK na Ridhiwani, Mwinyi na watoto wake. Bush RIP na watoto wake mmoja akawa rais na mwingine gavana wa jimbo.

Huwezi kuwa mhasibu ukapata mtoto fundi wa magari. Watoto hupita mule mule anamopita Baba.
 
Saivi tunabonyeza kizenjiiii... nagasi yako hiyo japo Sie wabara baraza la wawakilishi hatuna chetu yakheee!!!
 
Hata aibu hawana hawa watu jamani, hawa wanasafiria majina ya baba zao tu basi hayo mengine ni kuongeza mbwembwe tu, tunakoenda sio. Kule zenj wamejaa wao na huku nao ,hapana lazima kuwe na miiko ya uongozi,familia moja haiwezi ikashika mihimili yote ,hii ni hatari kwa nchi . Tusilete yale ambayo kule Kenya Ruto anasema kuna koo zenye nchi na malofa wasio na kitu na wananchi wawakatae hao wenye umiliki wa nchi, tusifike tukatoa kauli kama za akina Nape za kusema CCM ina wenyewe na sisi tukaanza kusema Tanzania ina wenyewe.
 
Tuseme ukweli, Abdulla Mwinyi is brainy guy. Ana uwezo na ubongo mzuri, let him be Deputy Speaker..

I know him. Tusiangalie katoka familia kubwa, tuangalie uwezo wa mtu, sasa kama katoka Gambush usukumani huko hana uwezo kama Msukuma Mb mnataka awe Naibu Speaker?
 
Wao wanamtaka Kigwangalla!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…