johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Abdulla Mwinyi ndio mwenye cv kubwa kuliko wote waliochukua fomu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante tumekuelewa viiizuuri sana mheshimiwa, bora nyie wamesha watengenezea maisha bora wazazi wenu hadi kifo,sio hawa watoto yatima wa uvccm.Mgombea wa nafasi ya Naibu Spika mh Abdulla Ali Mwinyi amesema yeye hana maneno mengi zaidi ya kumwachia Mungu mwingi wa rehema aweze kumvusha.
Mwinyi amewataka waandishi wa habari waziache mamlaka husika ndani ya chama zitimize majukumu yake na kisha wabunge wakamilishe mchakato kwa kupiga kura.
Source: ITV habari
Huko Ulaya na Marekani mtoto akitaka kufuata nyayo za wazazi wake anaapambana mwenyewe, huku kwetu unatumika udikteta kusimika watoto wa viongozi siio suala la babu alikuwa nani kama unavyodai. Hawa watoto unaosema babu zao walikuwa na nyadhifa gani? Kwanza baba yao hata uhuru hakupigania.ndio mana yake.maji hufuata mkondo tazama kwenu utajua kaz ya ukoo wako.anza na babu yake mzaa babu yako kisha baba yako utajua kaz ya nature yenu.
mbona Uk hawasem kila kitu cha UK ni mali ya malkia. bata wa mto Thames ni mali yote ya malikia kamata mmoja uone
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihiInaonekana the elites na watoto wao hawawezi kujiajiri kabisa,eeh? Ila wakiwa mbele ya mic wanawaambia watoto wa wasakatonge waliosoma kwa kuuza mashamba,mifugo,malimao,uji wa ulezi,makande ya nazi,n.k wakajiajiri baada ya kuhitimu elimu ya juu. Sawa, Mungu anawaona.
ingekuwa colombia wasingekuwa hiviHii familia haina kazi zingine tofauti na siasa. Wameona siasa Inalipa sana
Hivi kuna bunge kumbe linaendelea?
Hii kitu kweli imepoteza mvuto yaani humu ndio naona habari za bunge saa hizi.
Kwani wanajichagua wao? Wananchi ndo wapiga kura.Nchi ya kisultani hii?
Lissu alikuwa mbunge CHADEMA, dada yake mbunge vitu maalum chadema.Philemon Sarungi alikuwa mbunge na mwanae MARIA SARUNGI alikuwa mjumbe kwenye bunge la KATIBA [emoji818][emoji818]
MTEI alikuwa mwenyekiti wa CDM na Mkwewe akapata uenyekiti wa CDM [emoji818][emoji818]
Ila mtoto wa KIKWETE, MWINYI, SAMIA, MAGUFULI wakigombea hizo nafasi [emoji777][emoji777][emoji777]
ACHENI NONGWA.
Hii ni hulka ipo dunia nzima. Mtoto akikua karibu na Baba yake lazima aipende kazi anayoifanya.Hii nchi Mamwinyi wapo tukubali! Hakuna cha demokrasia!
Ndiyo maana Baba Spika mama DED,
Kaka balozi mdogo mtu DAS,
Ukichunguza Sana wawezakuta kelele za Humphrey, huenda ni kukosa. Kila akipeleka majina ya wanafamilia, hakuna uteuzi unaowakuta!
Hata aibu hawana hawa watu jamani, hawa wanasafiria majina ya baba zao tu basi hayo mengine ni kuongeza mbwembwe tu, tunakoenda sio. Kule zenj wamejaa wao na huku nao ,hapana lazima kuwe na miiko ya uongozi,familia moja haiwezi ikashika mihimili yote ,hii ni hatari kwa nchi . Tusilete yale ambayo kule Kenya Ruto anasema kuna koo zenye nchi na malofa wasio na kitu na wananchi wawakatae hao wenye umiliki wa nchi, tusifike tukatoa kauli kama za akina Nape za kusema CCM ina wenyewe na sisi tukaanza kusema Tanzania ina wenyewe.Hii Tweet ya Maria Sarungi imenifikirisha mara mbili mbili, Hapa kuna shida kubwa sana na sikutemea mchakato huu uanze namna hii, Mh. Mwinyi huenda kashauriwa vibaya au ana overconfidence kupitiliza aliyopewa toka juu kuja kuzalisha drama zote hizi.
View attachment 2111307
Kiukweli mchakato huu unahitaji utulivu sana wa akili na CCM waangalie atleast vitu kama hivi visijeonyesha credibility ya chama kuwa poor hasa kwa wapinzani kuona tunajikaanga sisi wenyewe. Natumaini watatuletea Naibu spika asiye na makando kando wala viulizo vya aina yoyote kwa faida ya Taifa lote kiujumla.
Nawatakia mchakato mwema watu wote waliochukua fomu na kuendelea kusubiri + kuamini kauli ya mwisho ya chama chetu.
Kwa tume ipi? Ya Mahera?Kwani wanajichagua wao? Wananchi ndo wapiga kura.
Wao wanamtaka Kigwangalla!Tuseme ukweli, Abdulla Mwinyi is brainy guy. Ana uwezo na ubongo mzuri, let him be Deputy Speaker..
I know him. Tusiangalie katoka familia kubwa, tuangalie uwezo wa mtu, sasa kama katoka Gambush usukumani huko hana uwezo kama Msukuma Mb mnataka awe Naibu Speaker?
Wao wanamtaka Kigwangalla!