wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
😄😄 Nakubali mkuu,wakitaka na 2040 wampe urais wa Tz kabisa mkuu.Ndiye makamu wa Rais 2030, subiri utaona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄 Nakubali mkuu,wakitaka na 2040 wampe urais wa Tz kabisa mkuu.Ndiye makamu wa Rais 2030, subiri utaona.
Hii nchi Mamwinyi wapo tukubali! Hakuna cha demokrasia!Jamaa walishajimilikisha
mama ni RAS DomHii nchi Mamwinyi wapo tukubali! Hakuna cha demokrasia!
Ndiyo maana Baba Spika mama DED,
Kaka balozi mdogo mtu DAS,
Ukichunguza Sana wawezakuta kelele za Humphrey, huenda ni kukosa. Kila akipeleka majina ya wanafamilia, hakuna uteuzi unaowakuta!
Weka na kapicha mkuuMgombea wa nafasi ya Naibu Spika mh Abdulla Ali Mwinyi amesema yeye hana maneno mengi zaidi ya kumwachia Mungu mwingi wa rehema aweze kumvusha.
Mwinyi amewataka waandishi wa habari waziache mamlaka husika ndani ya chama zitimize majukumu yake na kisha wabunge wakamilishe mchakato kwa kupiga kura.
Source: ITV habari
Ukweli mtupu kwa 100%.Hii nchi Mamwinyi wapo tukubali! Hakuna cha demokrasia!
Ndiyo maana Baba Spika mama DED,
Kaka balozi mdogo mtu DAS,
Ukichunguza Sana wawezakuta kelele za Humphrey, huenda ni kukosa. Kila akipeleka majina ya wanafamilia, hakuna uteuzi unaowakuta!
😄😄 Watoto wanne wa Mwinyi Ni wabunge huko zenji,mtoto wa chief hangaya nae Ni mbunge Zenji.Hii nchi Mamwinyi wapo tukubali! Hakuna cha demokrasia!
Ndiyo maana Baba Spika mama DED,
Kaka balozi mdogo mtu DAS,
Ukichunguza Sana wawezakuta kelele za Humphrey, huenda ni kukosa. Kila akipeleka majina ya wanafamilia, hakuna uteuzi unaowakuta!
Kama mulamula alivyomteua kaka yake wizara ya mambo ya njemama ni RAS Dom
hata wewe ukitamalak huo umr utakuja kuwa unasahau unafikr anapendaHuyu nae ni mtoto wa msahaulifu maarufu?
ndio mana yake.maji hufuata mkondo tazama kwenu utajua kaz ya ukoo wako.anza na babu yake mzaa babu yako kisha baba yako utajua kaz ya nature yenu.Yaani watu watatu watoto wa baba mmoja washike nafasi za juu kwa wakati mmoja!
Tanzania sio nchi ya usultaniNi haki yake kugombea, Kama atakua na ushawishi apigiwe Kura, asiwekwe kwa figisu au kunyimwa kwa Kua ni mtoto wa Mwinyi.
Huyo mama hata kusoma hawezi sijui anafanya nini hapoKama mulamula alivyomteua kaka yake wizara ya mambo ya nje