Aliyepaswa kutoa uwazi ni Mbowe kwa chama na umma!, Hajafanya hivyo na ilibaki kuwa Siri take Kwanini?. Ni lini chadema wamesema wameanza kupokea ruzuku kwa serikali toka kauli y mwanzo...mambo ambayo Ccm wameyakataa ktk maridhiano ni yapi?
..kwanini hakuna uwazi ktk jambo hili?
Kuna mahali nimesema sio haki!, Issue hapa hili limeibuka baada ya maridhiano kuvurugika na chama kilikataa hadharani hakitachukua ruzuku kwa serikali amabyo haikuchaguliwa na umma!. Ruzuku imetoka Kama sehem ya maridhiano kwasababu chadema waliikata kabla.Ruzuku ni haki ya CDM kumbuka Kinana mwenyewe alikiri 2020 haukuwa uchaguzi wa haki.
Wewe na mbowe mwenye makandokando ni Nani?Tuache siasa za hovyoo! Kwani sio mbowe aliyekataa ruzuku akisema hautambui uchaguzi?. Mbowe ana makandokando mengi Sana..... Mbona hakusema hili kuwa ni sehemu ya masharti ya maridhiano?. Chadema imefikia pabaya HAKUNA ukweli na uwazi!.
Hizo pesa ni MALI YA WALIPA KODI....SIO HISANIChadema wamelipwa Tsh Bilioni 2.7 kama ruzuku
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana amedai moja kati ya masharti ambayo waliomba CHADEMA ni kulipwa ruzuku yao ya miaka 3.
Kinana amesema ombi hilo lilikuwa gumu kutokana na ruzuku hutokana na bajeti ya serikali katika mwaka husika.
Kinana amesema ingawa ilikuwa ngumu Rais Samia aliagiza pesa hiyo itafutwe ili walipwe.
Una tatizo la utindio wa ubungo!, Umeelewa hata nilichokiandika au umejibu kwasababu unajua kusoma tu....!! Punguza utahira. M.fucvkWewe na mbowe mwenye makandokando ni Nani?
Mwenzio mbowe ni mfanyabiasha Toka Enzi za Nyerere tofauti na wewe unaishi Kwa kuomba omba
Kwani ruzuku imekuwa ni hongo ?Haya ndio Mambo amabayo mbowe hakutaka kuyaweka wazi wakati wa maridhiano!!, Ona wanavyomuumbua Sasa!, Ni aibu kuwa na kiongozi ambaye sio muwazi katika Mambo ya umma!.
Kwa hiyo Kinana ndio msemaji wa serikali, waziri wa fedha, mkuu wa hazina au msemaji wa CHADEMA?Chadema wamelipwa Tsh Bilioni 2.7 kama ruzuku
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana amedai moja kati ya masharti ambayo waliomba CHADEMA ni kulipwa ruzuku yao ya miaka 3.
Kinana amesema ombi hilo lilikuwa gumu kutokana na ruzuku hutokana na bajeti ya serikali katika mwaka husika.
Kinana amesema ingawa ilikuwa ngumu Rais Samia aliagiza pesa hiyo itafutwe ili walipwe.
Kwa hivyo Serikali na CCM waliamini kuwa ruzuku yao hao ni fadhila?Chadema wamelipwa Tsh Bilioni 2.7 kama ruzuku
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana amedai moja kati ya masharti ambayo waliomba CHADEMA ni kulipwa ruzuku yao ya miaka 3.
Kinana amesema ombi hilo lilikuwa gumu kutokana na ruzuku hutokana na bajeti ya serikali katika mwaka husika.
Kinana amesema ingawa ilikuwa ngumu Rais Samia aliagiza pesa hiyo itafutwe ili walipwe.
..pia kwanini CCM hawaelezi mambo waliyoyakataa ktk maridhiano?
..mimi nahisi wanaogopa kusema walikata nini kwasababu huenda ni mambo yenye manufaa kwa wananchi.
Kwani kabla chama sikilikataa kuchukua ruzuku kwa serikali ambayo haikushinda uchaguzi?, Taarifa zakuanza kuchukua ruzuku zimetolewa lini?.Kwani ruzuku imekuwa ni hongo ?
Mbona wewe huwa una unakwenda Mombasa kutembelea waarabu na tumekuhifadhi ingawa huwa hatujui kazi unayowafanyia hao waarabu Hadi wanachekelea na haya siyo makandokando Yako?Tuache siasa za hovyoo! Kwani sio mbowe aliyekataa ruzuku akisema hautambui uchaguzi?. Mbowe ana makandokando mengi Sana..... Mbona hakusema hili kuwa ni sehemu ya masharti ya maridhiano?. Chadema imefikia pabaya HAKUNA ukweli na uwazi!.
Kinana ni muwindaji haramu wa pembe za ndovu, siasa ni geresha tuChadema wamelipwa Tsh Bilioni 2.7 kama ruzuku
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana amedai moja kati ya masharti ambayo waliomba CHADEMA ni kulipwa ruzuku yao ya miaka 3.
Kinana amesema ombi hilo lilikuwa gumu kutokana na ruzuku hutokana na bajeti ya serikali katika mwaka husika.
Kinana amesema ingawa ilikuwa ngumu Rais Samia aliagiza pesa hiyo itafutwe ili walipwe.
Kinana anawaza kuua tu tembo wetu, meno na pembe akauze China 🇨🇳Maana yake mmewanunua ili wawe mazuzu sababu za ruzuku ambayo haki yao kisheria ? Mwisho wa Kinana kufikiri ndio hapo ?
Unanitangazia biashara zako za mombasa?, Bi mdogo wa mbowe kaa kwakutulia tuhoji utapeli wa mmeo mbowe!.Mbona wewe huwa una unakwenda Mombasa kutembelea waarabu na tumekuhifadhi ingawa huwa hatujui kazi unayowafanyia hao waarabu Hadi wanachekelea na haya siyo makandokando Yako?
Sawa, kwahio shida iko wapi? Yaani unataka kusema nini?Chadema wamelipwa Tsh Bilioni 2.7 kama ruzuku
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana amedai moja kati ya masharti ambayo waliomba CHADEMA ni kulipwa ruzuku yao ya miaka 3.
Kinana amesema ombi hilo lilikuwa gumu kutokana na ruzuku hutokana na bajeti ya serikali katika mwaka husika.
Kinana amesema ingawa ilikuwa ngumu Rais Samia aliagiza pesa hiyo itafutwe ili walipwe.
Mheshimiwa makamu wetu alikuwa anaweka ukweli wa mambo yote ili kuondoa upotoshaji ambao umekuwa ukifanywa na CHADEMA wapenda Ruzuku.Kwa hivyo Serikali na CCM waliamini kuwa ruzuku yao hao ni fadhila?
Tunahitaji kuona viongozi wa kitaifa wakizungumzia masuala mtambuka ya kitaifa.
Habari za ruzuku na manunuzi ya wanasiasa waachie akina Lucas mwashambwa 😅
Kinana ashafilisika kifikra
Tuache siasa za hovyoo! Kwani sio mbowe aliyekataa ruzuku akisema hautambui uchaguzi?. Mbowe ana makandokando mengi Sana..... Mbona hakusema hili kuwa ni sehemu ya masharti ya maridhiano?. Chadema imefikia pabaya HAKUNA ukweli na uwazi!.