Pre GE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mtajiuliza mengi tu, lakini usahihi ni kuwa Kinana siku nyingi sana anataka kupumzika.
 
Oooh!! Kumbe huko Tz kazi ya Head of Spy ndio hiyo. Maskini Tz yangu
 
Nini? Rudia tena! Laiti ungejua hata mzee wa Msoga yuko kwenye hili kundi. Infact mgogoro ni Samia vs Kikwete.
Najua hilo ila Kikwete ndio anaweza amua kuunga mkono Samia au watu wake na kuna sababu za kwanini amkatae Samia au amuunge mkono. Samia sio smart sana hajawahi kuwa na watu wake wa kuwaamini, yeye anapewa watu anabeba.

Kama intelligence ingekuwa na uwezo wa crandestine operations basi hata Kikwete ange.... ila sasa huo uwezekano ni mdogo sana. Hawa kina Kinana wangekuwa na nguvu kidogo.
 
Hii siyo mara ya kwanza Komredi Kinana Kujiuzulu.

Alishajiuzulu wakati wa Magufuli lakini akarejea tena kwa Cheo kikubwa zaidi zama hizi za Mpendwa Wetu Mwenyekiti Mh Dr Samia

Sasa Amejiuzulu na anaweza kurejea tena au Ndio anastaafu kama Mzee Tingatinga? 😃

Mlale Unono 😀😀
 
Wanamdanganya Ridhiwani
 
Huwa nasikia mtaani wakisema, vipi ndugu ikitokea wakangombana, I chukua jembe kalime.
 
Pia kuna body language ya Waziri Mkuu, ukimtazama anapozungumza kiwiliwili hakioani na kichwa hata kama anajitutumua kufoka.

Dk. Mpango yeye alishajimazia zake siku nyingi na kukomaa na sala na maombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…