Pre GE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Pre GE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii si bure bali kuna jambo.

Huenda ule utenguzi wa wale jamaa unahusika
Yaan hipo hivi, huyu mzee yupo kwenye kundi la January Makamba kumfanyia figisu mama. Kwa mujibi wa taarifa ya kigogo, wajumbe wengine kwenye kundi hilo ambalo lilitaka Kipara awe makamu wa Rais mwaka, 2025 yupo, Adams Malima,Kinana .

Ilikuwa lazima mzee huyu ajiuzulu tu kwa kuwa amegundulika kwenye uhaini huo.Na amelazimishwa kujiuzulu kwa kuwa ni msaliti.
 
Makanali wastaafu wamebakiza mtu mmoja tu kwenye ubavu wa mama lakini pia bado wanamshawishi au kwa lugha sahihi wanamtaka Ridhiwan abwage manyanga haraka.
Wastaafu wanataka wapigane kutokea nyuma kuelekea mbele kwa kutumia mbinu ya kijeshi inayoitwa blitzkrieg hapo 2025.
Maza anataka wazanzibar
 
20240729_202348.jpg
 
Hii si bure bali kuna jambo.

Huenda ule utenguzi wa wale jamaa unahusika.

CCM kimwili wako pamoja, ila kiroho wana makundi tena yanayotafunana kuelekea 2025.

Uzanzibari na uzanzibara ni petrol katika moto unaofukuta.

Wanamchekea Bi. Mkubwa ila sidhani kama wanampenda na wanapenda 2025 arudi ofisini.

Kwa madaraka makubwa ya kikatiba na yale ya ndani ya chama, akikomaa atavuka, ila watu wanaweza ku-defect dakika za mwisho na kumuweka katika mazingira magumu unless akumbatie kundi linalotajwa kumpinga na kutaka uraisi.

Amkumbatie sana JK walau anaeweza kumsaidia kutuliza hali ya mtambo iwapo yatatokea ya kutokea.

Jinsia nayo ni tatizo lingine.

Muda utaongea.
Mkuu huu mgongani wa siku nyingi. Kuna mambo mengine ambayo hata kuyaweka hapa haifai. Nikuulize swali la kichokozi: hivi unadhani yule dada USA alivyotoa zile tuhuma ''nyeti'' kuhusu mahusiano ni kwa nini kulikuwa na reaction kubwa sana kutoka CCM? I mean tuhuma kama zile zilitakiwa zipuuzwe tu lakini kinyume chake zimtoa nyoka pangoni, kwa nini?
 
Ikiwa Kinana anajiudhuru Kwa sababu ya NAPE NA MAKAMBA.

Hawa viumbe wanaendelea kuthibitisha kua, HAWAJAWAHI KULIPENDA TAIFA HILI.
 
Hata mimi. Mtu wa muhimu kwa Samia ni Kikwete, mkwe wake sio heavyweight wala sio smart. Samia hana team mpaka sasa amekumbatia team ya Kikwete ambayo ndio hii kaanza kuivuruga.

Adui muombee njaa. Natamani wafeli vibaya mno wavurugane
Nini? Rudia tena! Laiti ungejua hata mzee wa Msoga yuko kwenye hili kundi. Infact mgogoro ni Samia vs Kikwete.
 
Makanali wastaafu wamebakiza mtu mmoja tu kwenye ubavu wa mama lakini pia bado wanamshawishi au kwa lugha sahihi wanamtaka Ridhiwan abwage manyanga haraka.
Wastaafu wanataka wapigane kutokea nyuma kuelekea mbele kwa kutumia mbinu ya kijeshi inayoitwa blitzkrieg hapo 2025.
2025 bado hapatabiriki..lolote linaqeza kutokea.
 
RAIS SAMIA Asirudi nyuma, asilegeze kamba, Wala asitishike.

Najua Kinana kafanya hivi Kwa sababu ya Akina MAKAMBA na NAPE.

Lkn pia ni wazi KINANA, NAPE ,MAKAMBA wako kwenye ule mnyororo wa ndoto za MAKAMBA KUA RAIS.


Rais asitishike.


Inawezekana kabisa kabisa Taifa limepata HEAD OF SPY makini, mzalendo na mfia Nchi
kwa mwendo huu Lissu njia nyeupeeee ikulu 2025
 
Back
Top Bottom