Pre GE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwanini wakati huu ??
Watabakije wakati mipango imeharibika,,,,mtu wao wakumtengenezea njia ya urais ndo hivyo tena,,,,kwa sasa wazuri wanakufa

Screenshot_20231102_120808_Remix.png
images.jpeg-90.jpg
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika...
Three The Hardway 🐼
 
Huyu jamaa yeye ni wakuombaga kujiuzulu tu sasa mnamjwekaga awasaidie nini
 
Back
Top Bottom