Pre GE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna issue yoyote mama kashawashika pabaya safarii hawachomoki Tena hao ndio kwisha habari yao.
 
Apumzike tu. Hakuwa na faida yoyote kwa nchi ya Tanzania. Na atasahaulika tu kama alivyoaga Bernad Membe.

Na hii iwe funzo kwa viongozi mwingine. Kujilimbikizia mali na wizi wa mali za umma ni ushamba ni kama unaharibu nyumba unayoishi mwenyew.
 
Nchimbi,Jerry,Bashe
 
TZ ni salama salimina, wala usiogope. Uzuri wajuaji wameelewa mapemaaaaaa kuwa hakuna mchezo usiofahamika. Na hii ndio amani yenyewe.
Usihamishe hata senti tano yako kwenda nje.
 
Wewe utakuwa kijana wa 2000 hii nchi hakuna kama kikwete ata 1995 alikuwa amemshinda Mkapa kama sio busara za Mwalimu Nyerere. In short kikwete Nchi anaifahamu kama kiganja cha mkono wake.
Wewe ndo umeandika utoto...utakua ulikua msomaji wa magazeti ya sani na kiu....hopeless!!!
 
Apumzike tu. Hakuwa na faida yoyote kwa nchi ya Tanzania. Na atasahaulika tu kama alivyoaga Bernad Membe.

Na hii iwe funzo kwa viongozi mwingine. Kujilimbikizia mali na wizi wa mali za umma ni ushamba ni kama unaharibu nyumba unayoishi mwenyew.
Vipi aliyejijengea mpaka eyapoti kwao?
 
Vipi aliyejijengea mpaka eyapoti kwao?
Bora huyo. Maana asingeitumia pekee. Kuliko hawa wanaoiba hela na kuzificha Dubai huko au kununua nyumba South Africa.

Kama umeamua kuwa mwizi. Wekeza nyumbani ili hata ndugu wafaidike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…