moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Mrudisheni dr Bashiru kwenye nafasi ya Kinana.Mtajiuliza mengi tu, lakini usahihi ni kuwa Kinana siku nyingi sana anataka kupumzika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrudisheni dr Bashiru kwenye nafasi ya Kinana.Mtajiuliza mengi tu, lakini usahihi ni kuwa Kinana siku nyingi sana anataka kupumzika.
Pizza za samaki wa Muscat. Tartiib, unashushia kwa juice ya makomamanga.
Huyo kwa mimi binafsi simuelewi kabisa. Lakini mwenyekiti anaziishi R zake nne.Mrudisheni dr Bashiru kwenye nafasi ya Kinana.
Muislam anatakiwa apange mipango kama vile hafi na afanye ibada zake kama anakufa sasa hivi.well don’t be so sure, inategemeana na mambo mengi, binadamu anapanga lkn Mungu ndiyo huamua mwisho wa siku …
Hakuna issue yoyote mama kashawashika pabaya safarii hawachomoki Tena hao ndio kwisha habari yao.Hii si bure bali kuna jambo.
Huenda ule utenguzi wa wale jamaa unahusika.
CCM kimwili wako pamoja, ila kiroho wana makundi tena yanayotafunana kuelekea 2025.
Uzanzibari na uzanzibara ni petrol katika moto unaofukuta.
Wanamchekea Bi. Mkubwa ila sidhani kama wanampenda na wanapenda 2025 arudi ofisini.
Kwa madaraka makubwa ya kikatiba na yale ya ndani ya chama, akikomaa atavuka, ila watu wanaweza ku-defect dakika za mwisho na kumuweka katika mazingira magumu unless akumbatie kundi linalotajwa kumpinga na kutaka kiti chake.
Amkumbatie sana JK walau anaeweza kumsaidia kutuliza hali ya mtambo iwapo yatatokea ya kutokea.
Jinsia nayo ni tatizo lingine, na ukiongeza na tuhuma za kutapanya maliasili za watanganyika, naiona hatari kubwa sana mbele yake.
Muda utaongea.
Mnamkuza sana Kikwete ilhali ni mwepesi kuliko karatasi! Kikwete na mtandao wake ulimalizwa haraka sana na Magufuli akabaki hoi bin taabani.
Mtandao pekee ambao haukufa na Magufuli aliamua kusalimu amri kwao na kuungana nao ni Lowassa na Rostam Aziz ambao kijana wao mtiifu na mpendwa ndo huyo Nchimbi kwa sasa!
Huyo JK hana lolote mnalotaka kuaminisha watu zaidi ya mvizia fadhila tuu.
TZ ni salama salimina, wala usiogope. Uzuri wajuaji wameelewa mapemaaaaaa kuwa hakuna mchezo usiofahamika. Na hii ndio amani yenyewe.Hii si bure bali kuna jambo.
Huenda ule utenguzi wa wale jamaa unahusika.
CCM kimwili wako pamoja, ila kiroho wana makundi tena yanayotafunana kuelekea 2025.
Uzanzibari na uzanzibara ni petrol katika moto unaofukuta.
Wanamchekea Bi. Mkubwa ila sidhani kama wanampenda na wanapenda 2025 arudi ofisini.
Kwa madaraka makubwa ya kikatiba na yale ya ndani ya chama, akikomaa atavuka, ila watu wanaweza ku-defect dakika za mwisho na kumuweka katika mazingira magumu unless akumbatie kundi linalotajwa kumpinga na kutaka kiti chake.
Amkumbatie sana JK walau anaeweza kumsaidia kutuliza hali ya mtambo iwapo yatatokea ya kutokea.
Jinsia nayo ni tatizo lingine, na ukiongeza na tuhuma za kutapanya maliasili za watanganyika, naiona hatari kubwa sana mbele yake.
Muda utaongea.
Hapana. Tetesi zilizoenea Uyole hadi maeneo ya Mbalizi ni kuwa hiyo nafasi anapewa Lucas MwashambwaMsigwa anakuwa Makamu Mwenyekiti
Wewe ndo umeandika utoto...utakua ulikua msomaji wa magazeti ya sani na kiu....hopeless!!!Wewe utakuwa kijana wa 2000 hii nchi hakuna kama kikwete ata 1995 alikuwa amemshinda Mkapa kama sio busara za Mwalimu Nyerere. In short kikwete Nchi anaifahamu kama kiganja cha mkono wake.
UTATU MTAKATIFU.Ule "utatu" umeondoka tena rasmi. Wawili kwa kutumbuliwa, mmoja kwa kujiuzulu....
Vipi aliyejijengea mpaka eyapoti kwao?Apumzike tu. Hakuwa na faida yoyote kwa nchi ya Tanzania. Na atasahaulika tu kama alivyoaga Bernad Membe.
Na hii iwe funzo kwa viongozi mwingine. Kujilimbikizia mali na wizi wa mali za umma ni ushamba ni kama unaharibu nyumba unayoishi mwenyew.
Bora huyo. Maana asingeitumia pekee. Kuliko hawa wanaoiba hela na kuzificha Dubai huko au kununua nyumba South Africa.Vipi aliyejijengea mpaka eyapoti kwao?
AiseeView attachment 3056485
The Good the Bad and the Ugly.
Una uhakika? Au unakurupuka tu?Bora huyo. Maana asingeitumia pekee. Kuliko hawa wanaoiba hela na kuzificha Dubai huko au kununua nyumba South Africa.
Kama umeamua kuwa mwizi. Wekeza nyumbani ili hata ndugu wafaidike
Hawa jamaa wanajiona CCM yao cha kushangaza kila siku wanashindwa, wakiingia kdg tu mabega juu kisha yanakatwa. Hahahahaaa zama zimebadilika etiView attachment 3056485
The Good the Bad and the Ugly.