Kama haufahamu kinachoendelea ni heri kukaa kimya tu kuliko kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.Hawa jamaa wanajiona CCM yao cha kushangaza kila siku wanashindwa, wakiingia kdg tu mabega juu kisha yanakatwa. Hahahahaaa zama zimebadilika eti
Kumbe. San na Kiu yalikuwa ya naandika habari za Siasa?Wewe ndo umeandika utoto...utakua ulikua msomaji wa magazeti ya sani na kiu....hopeless!!!
sema hata ACT basi au ni mazombi wenu hamna tatizo nao?chadema watabaki kupiga domo
nakusahau hii ndio mana alisi ya demokrasia
Aisee,huu uandishi mhhhh ....kazi ipo !
Siasa ni mchezo mbaya sana.Kuna kitu sio bure sijui kwanini nmehisi hivi, michezo hii.
Nipo na Mama.Yule mzee mlezi wa vijana watukutu kaamua kubwaga manyanga na kuambatana na wanawe.
Habari ndiyo hiyo
Kama upo 'programmed' hivyo, kama 'roboti' la matope, ya nini kuhangaika nawe!CCM B ndio inaweza mtoa nje ya hapo hakuna wa kumtoa Mama Samia kwa sasa
Samia kapiga kwenye mshonoNaona wadau wa majukwaa yote wamehamia huku 😀😀😀😀
Swali ni kwanini wakati huu baada utumbuaji wa mawaziri marafiki ???
OkHaya kitu gani hiko cha kuongelea mbali kote pm
Sio kaamua ila kaambiwa mzee wewe jiondoe kwa heshima kama alivyofanywa Ndungai.Yule mzee mlezi wa vijana watukutu kaamua kubwaga manyanga na kuambatana na wanawe.
Habari ndiyo hiyo
Ni matokeo ya aina ya malezi mtoto anaongea kila anachokiona hata akimuona baba yake yuko uchi atasema tu.Vijana Gani wasikuwa watulivu? Yani litoto linasema eti huwa kwetu tunakula vya kuiba!!unawezaje kukaa nalo sebureni?
Twambie wwe kinachoendelea na sisi tupate kufahamu kama wwe!!Kama haufahamu kinachoendelea ni heri kukaa kimya tu kuliko kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.
Weka utabiri hapa tuoneUtabiri wa sheikh Yahaya utatimia soon
Soma taarifa rasmi, wachana na uzushi. Rudi post namba moja ukajisomee vizuri.Twambie wwe kinachoendelea na sisi tupate kufahamu kama wwe!!
Yanaendelea mapinduzi ya zenj ,bwana Tito Okelo karudi ficha mwarabuKama haufahamu kinachoendelea ni heri kukaa kimya tu kuliko kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.