Pre GE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Pre GE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Aliyeridhia si Rais Samia Suluhu Hassan.

Aliyeridhia ni Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan.

Rais Samia Suluhu Hassan hana role kwenye mambo ya CCM.

Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan ndiye mwenye role kwenye mambo ya CCM.

Kuna tofauti, lakini Watanzania wengi, Samia mwenyewe akiwamo, hawaioni.
 
Back
Top Bottom