FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kama haufahamu kinachoendelea ni heri kukaa kimya tu kuliko kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.Hawa jamaa wanajiona CCM yao cha kushangaza kila siku wanashindwa, wakiingia kdg tu mabega juu kisha yanakatwa. Hahahahaaa zama zimebadilika eti