Pre GE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Pre GE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Inatakiwa iwe hivyo Kwakweli [emoji28]
Lakini ngoja tuone hii movie [emoji15][emoji1783]
Ndiyo inaenda kua hivyo,Ndiyo maana unaona panga pangua haziishi leo wala kesho hadi kieleweke! Mama hataki mchezo,kama kuna watu walipiga deal ili wachukuwe kirahisi toka kwa Mama imekula kwao, Mama kawa chenjia mazima! Urais mtamu asikwambie mtu! Tena hii miaka 15 Ndiyo haki yake kabisa Mama, maana hii Mitano kasoro ni ya JPM, sasa Mama anatakiwa aanze sasa Miaka 10 yake na yeye!!
 
Kazi ipo !
Ngoja tuone mtifuano
Ila Mama na timu yake wako vizuri !
Wapige mahesabu yao vizuri tu !
Naona watoto wa mjini wanapumulia mashine, walikuwa wanapima kina cha maji kwa miguu 😅
 
Hii si bure bali kuna jambo.

Huenda ule utenguzi wa wale jamaa unahusika.

CCM kimwili wako pamoja, ila kiroho wana makundi tena yanayotafunana kuelekea 2025.

Uzanzibari na uzanzibara ni petrol katika moto unaofukuta.

Wanamchekea Bi. Mkubwa ila sidhani kama wanampenda na wanapenda 2025 arudi ofisini.

Kwa madaraka makubwa ya kikatiba na yale ya ndani ya chama, akikomaa atavuka, ila watu wanaweza ku-defect dakika za mwisho na kumuweka katika mazingira magumu unless akumbatie kundi linalotajwa kumpinga na kutaka kiti chake.

Amkumbatie sana JK walau anaeweza kumsaidia kutuliza hali ya mtambo iwapo yatatokea ya kutokea.

Jinsia nayo ni tatizo lingine, na ukiongeza na tuhuma za kutapanya maliasili za watanganyika, naiona hatari kubwa sana mbele yake.

Muda utaongea.
Nice Speculation,but she's there to stay,she's there to lead us up to 2030 Inshallah...
 
Kubaki ofisini kwa namna hiyo ni ujinga, na ni mpumbavu tu kama Mabutu ndio anaweza kufanya hivyo. Hata kama Poilitics is a game lakini kuna red lines.
Kuna wananchi wanataka huduma, vijana wanataka ajira, wanafunzi wanataka mikopo, wakulima wanataka pembejeo n.k. Hayo yote ni majukumu ya Rais. Na huwezi kuyatekeleza hayo kama eti "una act like a fool"
Haya
 
Back
Top Bottom