Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah watu mnajua na mnajua tena! Hapo Mzee Nnauye alipigwa changa la macho kusema kweli!Baba yake Nape (×) , na baba wa kufikia Brigedia Moses Nahuye.
Imekaa poa sana safarii shida Hawa jamaa wanajiona Wana haki miliki ya hii nchiAsipokuwa Jasiri, yatamshinda.
Bendera nusu mlingoti? unatutisha mkuuHao ndio Viungo wachafu wachezaji wa magamba. Suala la bendera nusu mlingoti haliepukiki, ni tukio la kujirudia upyaa!
Inawekana uyasemayo yana ukweli fulaniBaada ya kupoteza hirizi sasa akina Nape na January wamepoteza na mganga wao.
JPM hakuwahi kuonea mtu yoyote
Muda ni mwalimu mzuri sana
We jamaa sikuelewi kabisa150 people are here
Acha kumtisha Amir jeshi mkuuMuda ushaongea
She won't handle the pressure unless masculinity in her rise beyond
Kila kitu kimemkataa
She is not bad, she is intelligent she knew what was coming
But she didn't know how to avoid
She is Dealing with heavy weights
Had little time to prepare herself
If she wants to remain on the office she should calm down make peace with her enemy
Reducing her cycle of communications with peripherals as much as possible
She should avoid the radars act like a fool but understanding everything
Politics is a game of a chess sometimes a best thing to do is not moving kete
Ujinga wa idiolojia hii mimi simo, Simama peke yako.Watanganyika tusimamie hapa. asirudi, akirudi tutauzwa wote dubai
lete sivii yako mkuu😎😎😎😎Hutaki na mimi kijana nikapewa nafasii hiii? Naomba kamati kuu waniteue mimi nipokee kijiti cha kinana.
kwani wewe ni mtanzania/mtanganyika? Kwani wewe una akili za self awareness?Ujinga wa idiolojia hii mimi simo, Simama peke yako.
Kubaki ofisini kwa namna hiyo ni ujinga, na ni mpumbavu tu kama Mabutu ndio anaweza kufanya hivyo. Hata kama Poilitics is a game lakini kuna red lines.If she wants to remain on the office she should calm down make peace with her enemy
Reducing her cycle of communications with peripherals as much as possible
She should avoid the radars act like a fool but understanding everything
Politics is a game of a chess sometimes a best thing to do is not moving kete
Umenena vyema mkuukulazimisha wazee waendelee kukaa madarakani wakati vijana kibao wapo nje na ajira hakuna ni wendawazimu....haya sasa mzee mwenyewe ameamua kutumia akili kubwa kukukumbusha. Ung'ang'anizi wa kijinga tu....tunahitaji kila nafasi wawepo vijana ..ukistaafu ukapumzike hakuna kuongezea muda watu waliostaafu..hata walioko nje wanahitaji wafanye hizo kazi nao wazitumikie kabla hawajafikwa na umauti...nawapongeza wazee wote wanaokataa kurudi kwenye nafasi wakati umri wao umekwenda...wabarikiwe sana ktk maisha yao yaliyobakia duniani
Makamu Mwenyekiti NchimbiMakamu mwenyekiti ajae anakuwa mzanzibari
Hapana, ni kinyume chake. Unajua uchaguzi ukienda kama sheria ilivyo hata kwa katiba tulio nayo unakuwa mrahisi sana. Shida ukienda kama Nape alivyosema ndio unakuwa mgumu.Du aisee uchaguzi ujao utakuwa mgumu sana
Mama panga safu unayo iaminiKubaki ofisini kwa namna hiyo ni ujinga, na ni mpumbavu tu kama Mabutu ndio anaweza kufanya hivyo. Hata kama Poilitics is a game lakini kuna red lines.
Kuna wananchi wanataka huduma, vijana wanataka ajira, wanafunzi wanataka mikopo, wakulima wanataka pembejeo n.k. Hayo yote ni majukumu ya Rais. Na huwezi kuyatekeleza hayo kama eti "una act like a fool"
Hapana hapa ataharibu sana, si kwa maana ya utendaji wa Bashiru bali kisaikolojia. Wapo wengi wanaofaa. Mama anawafahamu. Tumuachie!Mrudisheni dr Bashiru kwenye nafasi ya Kinana.
Amejiuzuru kwa kashfa gani? Au hakubaliani na kitu gani?View attachment 3056347
Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika.
Katika majibu yake Mwenyekiti wa CCM amesema "Ni kweli nilipokuomba utusaidie kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti nilikuahidi utakaa muda mfupi kama ulivyoomba, na kwa kweli nilipenda uendelee kutusaidia lakini kwa kuwa umeomba sana na ahadi ni deni nalazimika kwa moyo mzito kuridhia kujiuzulu kwako".
Pia Mwenyekiti wa CCM amesisitiza kuwa Chama kitaendelea kutumia uzoefu na maarifa ya Ndugu Kinana kila vitakapohitajika.
Chama Cha Mapinduzi kinamshukuru Ndugu Abdulrahman Kinana kwa mchango wake mkubwa kwa Chama chetu.
PIA SOMA
- Matokeo CCM: Abdul Kinana Makamu Mwenyekiti Bara, Hussein Mwinyi Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti Taifa