Pre GE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Pre GE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Muda ushaongea

She won't handle the pressure unless masculinity in her rise beyond

Kila kitu kimemkataa

She is not bad, she is intelligent she knew what was coming
But she didn't know how to avoid

She is Dealing with heavy weights

Had little time to prepare herself

If she wants to remain on the office she should calm down make peace with her enemy
Reducing her cycle of communications with peripherals as much as possible
She should avoid the radars act like a fool but understanding everything

Politics is a game of a chess sometimes a best thing to do is not moving kete
Acha kumtisha Amir jeshi mkuu
 
Kubaki ofisini kwa namna hiyo ni ujinga, na ni mpumbavu tu kama Mabutu ndio anaweza kufanya hivyo. Hata kama Poilitics is a game lakini kuna red lines.
Kuna wananchi wanataka huduma, vijana wanataka ajira, wanafunzi wanataka mikopo, wakulima wanataka pembejeo n.k. Hayo yote ni majukumu ya Rais. Na huwezi kuyatekeleza hayo kama eti "una act like a fool"
 
kulazimisha wazee waendelee kukaa madarakani wakati vijana kibao wapo nje na ajira hakuna ni wendawazimu....haya sasa mzee mwenyewe ameamua kutumia akili kubwa kukukumbusha. Ung'ang'anizi wa kijinga tu....tunahitaji kila nafasi wawepo vijana ..ukistaafu ukapumzike hakuna kuongezea muda watu waliostaafu..hata walioko nje wanahitaji wafanye hizo kazi nao wazitumikie kabla hawajafikwa na umauti...nawapongeza wazee wote wanaokataa kurudi kwenye nafasi wakati umri wao umekwenda...wabarikiwe sana ktk maisha yao yaliyobakia duniani
Umenena vyema mkuu
 
IMG_7024.jpeg

Hawa wana lao?
 
Du aisee uchaguzi ujao utakuwa mgumu sana
Hapana, ni kinyume chake. Unajua uchaguzi ukienda kama sheria ilivyo hata kwa katiba tulio nayo unakuwa mrahisi sana. Shida ukienda kama Nape alivyosema ndio unakuwa mgumu.
Kilichofanyika ni kuondoa viongozi wa idiolojia hizo. Hivyo uchaguzi utakuwa poa sanaaaaaaa!
 
Kubaki ofisini kwa namna hiyo ni ujinga, na ni mpumbavu tu kama Mabutu ndio anaweza kufanya hivyo. Hata kama Poilitics is a game lakini kuna red lines.
Kuna wananchi wanataka huduma, vijana wanataka ajira, wanafunzi wanataka mikopo, wakulima wanataka pembejeo n.k. Hayo yote ni majukumu ya Rais. Na huwezi kuyatekeleza hayo kama eti "una act like a fool"
Mama panga safu unayo iamini
Watu wameshachoka na Wahuni
## kataa wahuni # Polepole
 
View attachment 3056347
Abdulrahman Kinana

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika.

Katika majibu yake Mwenyekiti wa CCM amesema "Ni kweli nilipokuomba utusaidie kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti nilikuahidi utakaa muda mfupi kama ulivyoomba, na kwa kweli nilipenda uendelee kutusaidia lakini kwa kuwa umeomba sana na ahadi ni deni nalazimika kwa moyo mzito kuridhia kujiuzulu kwako".

Pia Mwenyekiti wa CCM amesisitiza kuwa Chama kitaendelea kutumia uzoefu na maarifa ya Ndugu Kinana kila vitakapohitajika.

Chama Cha Mapinduzi kinamshukuru Ndugu Abdulrahman Kinana kwa mchango wake mkubwa kwa Chama chetu.

PIA SOMA
- Matokeo CCM: Abdul Kinana Makamu Mwenyekiti Bara, Hussein Mwinyi Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti Taifa

Amejiuzuru kwa kashfa gani? Au hakubaliani na kitu gani?
Amejiuzuru au amestaafu?
 
Back
Top Bottom