Yaan hipo hivi, huyu mzee yupo kwenye kundi la January Makamba kumfanyia figisu mama. Kwa mujibi wa taarifa ya kigogo, wajumbe wengine kwenye kundi hilo ambalo lilitaka Kipara awe makamu wa Rais mwaka, 2025 yupo, Adams Malima,Kinana .Hii si bure bali kuna jambo.
Huenda ule utenguzi wa wale jamaa unahusika
Hata mimi. Mtu wa muhimu kwa Samia ni Kikwete, mkwe wake sio heavyweight wala sio smart. Samia hana team mpaka sasa amekumbatia team ya Kikwete ambayo ndio hii kaanza kuivuruga.Nilistuka nikadhan ame nanii...!
Maza anataka wazanzibarMakanali wastaafu wamebakiza mtu mmoja tu kwenye ubavu wa mama lakini pia bado wanamshawishi au kwa lugha sahihi wanamtaka Ridhiwan abwage manyanga haraka.
Wastaafu wanataka wapigane kutokea nyuma kuelekea mbele kwa kutumia mbinu ya kijeshi inayoitwa blitzkrieg hapo 2025.
📌📌📌🔨 😂😂😂👇👇In msoga voice "labda mambo yakiaribika sana" naona mambo ndo hayo yameshaanza kuparanganyika
Katiba ya hovyo kabisaKatiba na 72% waliyosema imetimia ndio vinasababisha haya ?
Hapo ikiwa ni tambarare ,mlimani ama korongoni.Naona Mbele kama kuna mteremko mkali zaidi zimeanza kuachiwa break ndogo ndogo yan psiiii Chaaaa psiiii chaaaaaa
Mkuu huu mgongani wa siku nyingi. Kuna mambo mengine ambayo hata kuyaweka hapa haifai. Nikuulize swali la kichokozi: hivi unadhani yule dada USA alivyotoa zile tuhuma ''nyeti'' kuhusu mahusiano ni kwa nini kulikuwa na reaction kubwa sana kutoka CCM? I mean tuhuma kama zile zilitakiwa zipuuzwe tu lakini kinyume chake zimtoa nyoka pangoni, kwa nini?Hii si bure bali kuna jambo.
Huenda ule utenguzi wa wale jamaa unahusika.
CCM kimwili wako pamoja, ila kiroho wana makundi tena yanayotafunana kuelekea 2025.
Uzanzibari na uzanzibara ni petrol katika moto unaofukuta.
Wanamchekea Bi. Mkubwa ila sidhani kama wanampenda na wanapenda 2025 arudi ofisini.
Kwa madaraka makubwa ya kikatiba na yale ya ndani ya chama, akikomaa atavuka, ila watu wanaweza ku-defect dakika za mwisho na kumuweka katika mazingira magumu unless akumbatie kundi linalotajwa kumpinga na kutaka uraisi.
Amkumbatie sana JK walau anaeweza kumsaidia kutuliza hali ya mtambo iwapo yatatokea ya kutokea.
Jinsia nayo ni tatizo lingine.
Muda utaongea.
Nini? Rudia tena! Laiti ungejua hata mzee wa Msoga yuko kwenye hili kundi. Infact mgogoro ni Samia vs Kikwete.Hata mimi. Mtu wa muhimu kwa Samia ni Kikwete, mkwe wake sio heavyweight wala sio smart. Samia hana team mpaka sasa amekumbatia team ya Kikwete ambayo ndio hii kaanza kuivuruga.
Adui muombee njaa. Natamani wafeli vibaya mno wavurugane
2025 bado hapatabiriki..lolote linaqeza kutokea.Makanali wastaafu wamebakiza mtu mmoja tu kwenye ubavu wa mama lakini pia bado wanamshawishi au kwa lugha sahihi wanamtaka Ridhiwan abwage manyanga haraka.
Wastaafu wanataka wapigane kutokea nyuma kuelekea mbele kwa kutumia mbinu ya kijeshi inayoitwa blitzkrieg hapo 2025.
kwa mwendo huu Lissu njia nyeupeeee ikulu 2025RAIS SAMIA Asirudi nyuma, asilegeze kamba, Wala asitishike.
Najua Kinana kafanya hivi Kwa sababu ya Akina MAKAMBA na NAPE.
Lkn pia ni wazi KINANA, NAPE ,MAKAMBA wako kwenye ule mnyororo wa ndoto za MAKAMBA KUA RAIS.
Rais asitishike.
Inawezekana kabisa kabisa Taifa limepata HEAD OF SPY makini, mzalendo na mfia Nchi
JPM alionewa sana sanaBaada ya kupoteza hirizi sasa akina Nape na January wamepoteza na mganga wao.
JPM hakuwahi kuonea mtu yoyote
Muda ni mwalimu mzuri sana
Kumbuka Ridhiziwani ni waziri lazima atoboeSamia Atatoboa kweli?! Let see and wait