Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasema upinzani utatokea humo humo kwenye chama tawala.Upinzani labda CCM B ila sio huu wa chadema na washirika wake hakuna presidential material kwenye vyama tajwa hapo juu na walivyo na visasi sijaona wakipewa nchi kwa sasa
Haha katulizwa vizuri, picha linaeleweka sasa mkuu.Born town anaangalia Future ya mtoto wake hawezi tena kufuata mkumbo
Mtajiuliza mengi tu, lakini usahihi ni kuwa Kinana siku nyingi sana anataka kupumzika.
Inawezekana wewe ndio mjinga kwa kukariri, ulimbukeni au ujuaji wa London-New York -Brussels back to Dar. Ila kichani mwako ni kakariri tu hata hujisubui kutafakar. Totally Western brainwashed low mind. Hiki kitu ndicho kinasumbua sana nchi masikini za kiafrika.Ficha ujinga wako. Labda kama ni mgeni sana wa siasa za nchii ndo unaweza kuandika huu ujinga.
CCM wote wezi sasa nani kapatikana na nini?😁Amepatikana hakuna
Kuna dalili ya wazi ya Katiba mpya, huyu alikuwa kikwazoHii si bure bali kuna jambo.
Huenda ule utenguzi wa wale jamaa unahusika.
CCM kimwili wako pamoja, ila kiroho wana makundi tena yanayotafunana kuelekea 2025.
Uzanzibari na uzanzibara ni petrol katika moto unaofukuta.
Wanamchekea Bi. Mkubwa ila sidhani kama wanampenda na wanapenda 2025 arudi ofisini.
Kwa madaraka makubwa ya kikatiba na yale ya ndani ya chama, akikomaa atavuka, ila watu wanaweza ku-defect dakika za mwisho na kumuweka katika mazingira magumu unless akumbatie kundi linalotajwa kumpinga na kutaka kiti chake.
Amkumbatie sana JK walau anaeweza kumsaidia kutuliza hali ya mtambo iwapo yatatokea ya kutokea.
Jinsia nayo ni tatizo lingine, na ukiongeza na tuhuma za kutapanya maliasili za watanganyika, naiona hatari kubwa sana mbele yake.
Muda utaongea.
Bado mtoto sana wa siasa za nchi hii.Samia ni product ya Kikwete. Sasa team Kikwete akawa mgombea mwenza wa Magufuli na ndiye Rais wa sasa.
Katibu mkuu TISS aliyepita ni team Kikwete.
Kinana ni team Kikwete na ndio katoka umakamu mwenyekiti.
January, Nape, Makamba ni team Kikwete na mawaziri watatu wote walikuwa baraza la Rais Samia.
Mtoto wa Kikwete yupo kwenye baraza la Samia.
Haya tutajie mtandao wa Rostam Aziz na Lowassa uliokuwepo madarakani hata wakati wa Magufuli. Nchimbi kitu gani huyu mweupe hafikii hata nusu ya influence ya Makonda. Kwamba Rostam Aziz anamzidi Kikwete influence? Ndoto za mchana
Haya kitu gani hiko cha kuongelea mbali kote pmHapana aisee
Kumbe!Basi hio ni heri pia.Kuna dalili ya wazi ya Katiba mpya, huyu alikuwa kikwazo
Kwa uma au Kwa ccm? !!!View attachment 3056347
Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika.
Katika majibu yake Mwenyekiti wa CCM amesema "Ni kweli nilipokuomba utusaidie kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti nilikuahidi utakaa muda mfupi kama ulivyoomba, na kwa kweli nilipenda uendelee kutusaidia lakini kwa kuwa umeomba sana na ahadi ni deni nalazimika kwa moyo mzito kuridhia kujiuzulu kwako".
Pia Mwenyekiti wa CCM amesisitiza kuwa Chama kitaendelea kutumia uzoefu na maarifa ya Ndugu Kinana kila vitakapohitajika.
Chama Cha Mapinduzi kinamshukuru Ndugu Abdulrahman Kinana kwa mchango wake mkubwa kwa Chama chetu.
PIA SOMA
- Matokeo CCM: Abdul Kinana Makamu Mwenyekiti Bara, Hussein Mwinyi Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti Taifa
Itakuja na jina gani. Na sio kigogo tenaData center imekamilika.
umeuliza swali muhimu sana ila litachukuliwa poa. Hii ilipaswa kuwa taarifa kwa wanachama wa ccm na sio umma au analau wangeunganisha wanachama wa ccm na ummaKwa uma au Kwa ccm? !!!
Umeona mbaliPia kuna body language ya Waziri Mkuu, ukimtazama anapozungumza kiwiliwili hakioani na kichwa hata kama anajitutumua kufoka.
Dk. Mpango yeye alishajimazia zake siku nyingi na kukomaa na sala na maombi
Mbona ume panic?Samia ni product ya Kikwete. Sasa team Kikwete akawa mgombea mwenza wa Magufuli na ndiye Rais wa sasa.
Katibu mkuu TISS aliyepita ni team Kikwete.
Kinana ni team Kikwete na ndio katoka umakamu mwenyekiti.
January, Nape, Makamba ni team Kikwete na mawaziri watatu wote walikuwa baraza la Rais Samia.
Mtoto wa Kikwete yupo kwenye baraza la Samia.
Haya tutajie mtandao wa Rostam Aziz na Lowassa uliokuwepo madarakani hata wakati wa Magufuli. Nchimbi kitu gani huyu mweupe hafikii hata nusu ya influence ya Makonda. Kwamba Rostam Aziz anamzidi Kikwete influence? Ndoto za mchana
AlisemajeUtabiri wa sheikh Yahaya utatimia soon
Mpasuko wa wazi kabisa huoYusuf Makamba
January Makamba
Nape Nnauye
Kinana Abdulrahman
Hawa wanajuana sana ni kundi moja kwenye kupeana chapuo za uongozi
Kama ni mpasuko umetokea CCM kwetu ni habari njema ila kama wamewekwa pembeni kwa kazi maalumu kuelekea uchaguzi kwisha habari yetu
Hata huyu anakijua chama , ni utata tu unamsumbuaMakamu Mwenyekiti anatakiwa mtu anayekijua Chama kweli kweli kama Mkuchika au Lukuvi 😀😀