Kawaulize Zuma na Tabu Mbeki watakupa maelezo, yaliwahi kuwakuta.Rais anashindwaje vita?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawaulize Zuma na Tabu Mbeki watakupa maelezo, yaliwahi kuwakuta.Rais anashindwaje vita?
Huwenda ikawa kweliWanasema upinzani utatokea humo humo kwenye chama tawala.
Huyu gavana balali Bado yupo?Mwenye Ile Screenshot ya ya Akaunti ya DAUDI BALALI...Kuhusu UTABIRI WA uchaguzi 2025.
Atuwekee hapa.
Marope pia aliyasema hayo livePamoja na "shenanigans" za CCM, ukweli unabaki kuwa ukweli.
Wasaidizi wengi sana wa Rais Samia hawamkubali tokana na uwezo wake, na kwa kweli hili sio dhambi wala sio jinai.
Viongozi hawa ni ndugu zetu, wanaongea nasi ukweli toka mioyoni mwao mara kwa mara tunapokuwa kwenye mazungumzo nao.
Unafiki wetu mkubwa ndio unatufanya tuendelee na kazi na kumsifia.
Umeiweka vzr hiihata raisi atapumzika pia na kumkabidhi P.Mpango (PhD) muda si mrefu, kila kitu kimepangwa wana-check boxes tu …
AnafaaDr. Bashiru ndio makamu mwenyekiti
YaaaLukuvi anafaa umakamu Mwnyekiti.
Alifaa kupumzishwaHuyu Mzee aliomba kupumzika siku nyingi sana.
Sio umri tu, huyo alikuwa hatoshi hiyo nafasiAlipaswa aachane na mambo ya siasa muda mrefu, umri ushasogea kukimbizana na mauongo...
Aaah siyo mambo yangu hayo kabisa. Hata ukatibu kata siuwezi.Who knows, usishangae Lukas Mwashambwa au FaizFoxy anauramba umakomo Mwenyekiti wa CCM, maana siku hizi UCHAWA unalipa sana.
Mafao ya kufa mtu.hata raisi atapumzika pia na kumkabidhi P.Mpango (PhD) muda si mrefu, kila kitu kimepangwa wana-check boxes tu …
Mjinga ni wewe, huyo JK alishakata pumzi kabisa..... JK hana nguvu yoyote ndani ya CCM sana sana ni samaki tu asiyeweza ishi nje ya maji.Ficha ujinga wako. Labda kama ni mgeni sana wa siasa za nchii ndo unaweza kuandika huu ujinga.
Kuna yule pastor alitabiri mpasuko mkubwa ndani ya ccm naona yametimiaView attachment 3056347
Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika.
Katika majibu yake Mwenyekiti wa CCM amesema "Ni kweli nilipokuomba utusaidie kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti nilikuahidi utakaa muda mfupi kama ulivyoomba, na kwa kweli nilipenda uendelee kutusaidia lakini kwa kuwa umeomba sana na ahadi ni deni nalazimika kwa moyo mzito kuridhia kujiuzulu kwako".
Pia Mwenyekiti wa CCM amesisitiza kuwa Chama kitaendelea kutumia uzoefu na maarifa ya Ndugu Kinana kila vitakapohitajika.
Chama Cha Mapinduzi kinamshukuru Ndugu Abdulrahman Kinana kwa mchango wake mkubwa kwa Chama chetu.
PIA SOMA
- Matokeo CCM: Abdul Kinana Makamu Mwenyekiti Bara, Hussein Mwinyi Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti Taifa
Alisemaje !!!Utabiri wa sheikh Yahaya utatimia soon