Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Kapiga hela katosheka, Kwani Ile meli yake ya Comoro vp!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe utakuwa kijana wa 2000 hii nchi hakuna kama kikwete ata 1995 alikuwa amemshinda Mkapa kama sio busara za Mwalimu Nyerere. In short kikwete Nchi anaifahamu kama kiganja cha mkono wake.Mnamkuza sana Kikwete ilhali ni mwepesi kuliko karatasi! Kikwete na mtandao wake ulimalizwa haraka sana na Magufuli akabaki hoi bin taabani.
Mtandao pekee ambao haukufa na Magufuli aliamua kusalimu amri kwao na kuungana nao ni Lowassa na Rostam Aziz ambao kijana wao mtiifu na mpendwa ndo huyo Nchimbi kwa sasa!
Huyo JK hana lolote mnalotaka kuaminisha watu zaidi ya mvizia fadhila tuu.
Sijapanick nimetoa facts na kuuiza. Pinga au jibuMbona ume panic?
Naiona nafasi ya urais kwa makonda kama bado yu hai...Hii si bure bali kuna jambo.
Huenda ule utenguzi wa wale jamaa unahusika.
CCM kimwili wako pamoja, ila kiroho wana makundi tena yanayotafunana kuelekea 2025.
Uzanzibari na uzanzibara ni petrol katika moto unaofukuta.
Wanamchekea Bi. Mkubwa ila sidhani kama wanampenda na wanapenda 2025 arudi ofisini.
Kwa madaraka makubwa ya kikatiba na yale ya ndani ya chama, akikomaa atavuka, ila watu wanaweza ku-defect dakika za mwisho na kumuweka katika mazingira magumu unless akumbatie kundi linalotajwa kumpinga na kutaka kiti chake.
Amkumbatie sana JK walau anaeweza kumsaidia kutuliza hali ya mtambo iwapo yatatokea ya kutokea.
Jinsia nayo ni tatizo lingine, na ukiongeza na tuhuma za kutapanya maliasili za watanganyika, naiona hatari kubwa sana mbele yake.
Muda utaongea.
"Upinzani wa kweli utatoka ndani yenu"Tunazalisha upinzani wenyewe bila kutumwa.
Chochea kuni braza moto bado haujakolea.Yule mzee mlezi wa vijana watukutu kaamua kubwaga manyanga na kuambatana na wanawe.
Habari ndiyo hiyo
Umeandika UjingaNaiona nafasi ya urais kwa makonda kama bado yu hai...
Kati ya sasa na hapo baadae.In msoga voice "labda mambo yakiaribika sana" naona mambo ndo hayo yameshaanza kuparanganyika
Nliwalenga wenye akili tu lakin,Umeandika Ujinga
Hata upinzani nao wanaweza kutumia Uzoefu na maarifa ya Ndugu Kinana, ni namna wanavyoweza kujipanga.Hoja Iko hapa: Chama kitaendelea kutumia uzoefu na maarifa ya Ndugu Kinana kila vitakapohitajika...
Upinzani sijui kama wanaelewa!
Aaah siyo mambo yangu hayo kabisa. Hata ukatibu kata siuwezi.
Mafao ya kufa mtu.
Raha mustarehe.
Kiungo mzuiaji, kiungo mshambuliaji na mshambuliaji mwenyewe.
Pizza za samaki wa Muscat. Tartiib, unashushia kwa juice ya makomamanga.kabisaa …
Nimecheka sana, alionewa na nani mkuu?JPM alionewa sana sana