Abel na Kaini (kizazi cha Adamu na Hawa); Je, wake zao ni kizazi cha nani?

Ni kitabu gani kwenye Bible kinachosema Mungu aliiumba magonjwa? Mungu ni mwema sana, magonjwa yalikuja baada ya dhambi na dhambi haikuletwa na Mungu. Hebu kasome the Book of Genesis vizuri
Magonjwa na dhambi aliumba nani?...kwa hiyo Mungu siyo muumba wa vitu vyote?
 
me nakataa hii story ya Adam na Hawa ni upuuzi mtupu Abel alikufa bila mtoto kwahyo kaini alilala na ndugu zake wangapi? ni kina nani?
 
Ni kitabu gani kwenye Bible kinachosema Mungu aliiumba magonjwa? Mungu ni mwema sana, magonjwa yalikuja baada ya dhambi na dhambi haikuletwa na Mungu. Hebu kasome the Book of Genesis vizuri

Mkuu. Hebu tusaidie.

Hapo zamani Pathogens walikuwa bado hawajaumbwa?
 
Kwahiyo huu ujinga ndio mnaomezeshwa?

Una ushahidi gan kwamba Allah ndiye aliyetuumba?

Una ushahidi gani wa kuwepo kwa Allah?

Umesema kila mtu na Dada yake wa kuzaa nae, majina yao ni yepi?

Kama Mungu anafanya atakavyo yeye bila kushirikisha wanadamu, ina maana yeye ni dictator?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utaniua mkuu,unataka kuniambia udictator wa sir God km wa mkulu mbembe sio
 
Binadamu wa kwanza kuumbwa Na Mungu ni Adam Na Hawa.Watoto waliowazaa ni Abel Na Kaini.Abeli Na Kaini walioa je Wake zao ni kizazi cha nani?
Nlijiuliza sana kain alipo pigwa chapa ili asiuliwe kwa dhambi alotenda jee ambao wangemuua ni kina nani wakt alishaondoka kwao akaenda zakee
Biblia ni ngumu na inahtaji majibu magumu pia
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utaniua mkuu,unataka kuniambia udictator wa sir God km wa mkulu mbembe sio
Sasa Mkuu kama Mungu anatupa free will ya kufanya tutakayo(maana alisema nimeweka mema na mabaya mbele yenu, jichagulieni mtakayo ila siku ya mwisho mtatolea hesabu ya kila tendo)....Alafu ana kuja kusema yeye ndiye Mungu, anafanya atakavyo na wala tusimhoji,....kwa hizi double standards, kuna jina zuri la kumpa tofauti na dictator?....coz he is dictating our lives the way he want and wip out our free wills.
 
Mkuu. Hebu tusaidie.

Hapo zamani Pathogens walikuwa bado hawajaumbwa?
Nenda kasome microbiology vizuri utaelewa. Lakini kwa ufupi ni kwamba: hawa microorganisms waliumbwa kwa lengo zuri tu na wengi wao tunaishi nao kama normal flora which means they live normally on or in the body without causing any potential healthy problem. Inapotokea shida labda wakaingia sehemu ambapo si mahali pao ndipo husababisha magonjwa na hapo ndo utawaita pathogens au ikitokea immune system ikawa weakened husababisha magonjwa tunayoyaita opportunistic infections. Kwa hiyo kusema Mungu aliumba Magonjwa ati kisa aliumba microorganisms ni kutokuwa na shule. Magonjwa kama ya matumbo mara nyingi huambukiza kwa njia ya feacal oral route. Wale bacteria wanaoishi kwenye rectum na unus kwa kule ni normal flora, ndo makazi yao na hawana madhara, wewe uende chooni utoke bila kunawa vizuri mikono, uwale wakuletee shida tumboni kwa sababu wakienda tumboni wanakuwa pathogens coz si sehemu yao, halafu uje umsingizie Mungu! Mungu anaingiaje hapo?
 
Asante sana kwa maelezo mazuri.

Mkuu, sio kwamba sijui pathogens na micro organisms. Ila ninataka kuelewa kupitia mtazamo wako.

Hao viumbe walikwepo, na tuseme waliumbwa sawa na viumbe wengine.

Bado nahitaji details zaidi: kuna ambao ni harmful na ambao sio harmful mwilini. Hao harmful ikiwa wameingia bahati mbaya, lets say kwa kuliwa, hewa au kuguswa walikuwa hawadhuru chochote, is that true? Je kama vimelea vya maleria vilikuwa vinaishije kwa independently survival?
 
Ndio nazidi kuwaza zaidi. [emoji848]

Kwa hiyo simba alikuwa anakula nini kabla ya mwanadamu kutenda dhambi? Majani nayo ni aina ya uhai, mimea ilikuwa inakufa? Tulikuwa hatuli? [emoji53]

Kama kungekuwa hakuna kifo tungeishije watu wote duniani? Kwanini dhambi ya mwanadamu imuadhiri swala na wanyama wengine ambao hawakuhusika?

I hope kuna majibu zaidi. [emoji52]
 
Asante sana kwa maelezo mazuri.

Mkuu, sio kwamba sijui pathogens na micro organisms. Ila ninataka kuelewa kupitia mtazamo wako.

Hao viumbe walikwepo, na tuseme waliumbwa sawa na viumbe wengine.

Bado nahitaji details zaidi: kuna ambao ni harmful na ambao sio harmful mwilini. Hao harmful ikiwa wameingia bahati mbaya, lets say kwa kuliwa, hewa au kuguswa walikuwa hawadhuru chochote, is that true? Je kama vimelea vya maleria vilikuwa vinaishije kwa independently survival?
Hayo yalikuwepo sema yamejulika sana siku hizi kutokana na watu kufanya sana tafiti sana katika zama hizi za sayansi na teknolojia
 
Swali jepesi sana.iko hivi
Adam na hawa hawakuwa watu halisi kama tulivyo mimi na wewe bali yalikuwa ni majina ambayo yalitumika kuwakilisha makundi ya watu.so Adam alikuwa anawakilisha wanaume na hawa alikuwa anawakilisha wanawake.lengo la kitabu cha mwanzo ni kuonyesha historia ya binadamu so isingewezekana kuzungumziwa namna kila mtu alivyopatikana so yakachaguliwa majina mawili ili yawe vielelezo au kuwakilisha makundi hayo ya watu.ukisoma vizuri kitabu chenyewe kinajieleza mfano habari ya nyoka kuongea unaona kabisa kwamba No kitu ambacho hakileti maana.so mwandishi wa kitabu kile alitumia majina ya adamu na hawa kwa maana hizo.mfano mzuri ni hadithi za sungura na fisi ambazo hutumia majina hayo kuwakilisha watu halisi.
Kwa maana hio unatwambia kua mandishi ya biblia yaliandikwa na watu Fulani tu kichwani mwao na wakatuaminisha kua yametoka kwa Mungu?
 
Abel nadhani hakuoa!!
Ila hili swali najiuliza mara nyingi sana na hata kuuliza watu wengine ikowamo viongozi wa dini!
Kwa adam mbali sana, umewahi kufikiria kuhusu nuhu alipanda kwenye safina na wanawe ila mkewe baadae hakuwepo,sasa aliporudi baada ya maji kupungua ali alianzisha vipi uzao mwingine?
 
Binadamu wa kwanza kuumbwa Na Mungu ni Adam Na Hawa.Watoto waliowazaa ni Abel Na Kaini.Abeli Na Kaini walioa je Wake zao ni kizazi cha nani?
Cain married from Enoch family. Adam & Eve are archetypal first parents but there were other people. They were chosen to fulfil the promise in genesis 3:15, the coming of Jesus christ.
 
Kwa adam mbali sana, umewahi kufikiria kuhusu nuhu alipanda kwenye safina na wanawe ila mkewe baadae hakuwepo,sasa aliporudi baada ya maji kupungua ali alianzisha vipi uzao mwingine?
Kwa Nuhu mkewe alikuwepo ndani ya safina mkuu, hebu pitia Mwanzo 7:7
 
Adam na eva waliishi mia zaidi ya mia tisa.

Ukituliza kichwa vizuri utajua kaini na abel walioa nani.

Ungeuliza kain na abel walioa wakiwa na umri gani ingekuwa hoja nzito.

What if walioa wakiwa na miaka mia saba.
Miaka mia saba sikijiji kabsaa.
NB: ABEL hakuoa maana aliuawa na nduguye (Kaini). Aliyechukua nafasi ya Abel ni Sethi (Mwanzo 4:25).

Walioana ndugu kwa ndugu, ndiyo maana biblia hususani kuhusu nzao hizo za kwanza haisemi Fulani akamwoa nani, Bali husema tu Fulani akamzaa fulani! Nakubaliana nawe kwa point ya watu Hao Wa kwanza kuishi miaka mingi sana ili badae wapate wenza wao kutoka tumbo lilelile la mama mmoja.

Unaweza pia kujiuliza kwa nini watoto Wa Lutu walilala na baba yao ili wapate watoto?!
 
Swali jepesi sana.iko hivi
Adam na hawa hawakuwa watu halisi kama tulivyo mimi na wewe bali yalikuwa ni majina ambayo yalitumika kuwakilisha makundi ya watu.so Adam alikuwa anawakilisha wanaume na hawa alikuwa anawakilisha wanawake.lengo la kitabu cha mwanzo ni kuonyesha historia ya binadamu so isingewezekana kuzungumziwa namna kila mtu alivyopatikana so yakachaguliwa majina mawili ili yawe vielelezo au kuwakilisha makundi hayo ya watu.ukisoma vizuri kitabu chenyewe kinajieleza mfano habari ya nyoka kuongea unaona kabisa kwamba No kitu ambacho hakileti maana.so mwandishi wa kitabu kile alitumia majina ya adamu na hawa kwa maana hizo.mfano mzuri ni hadithi za sungura na fisi ambazo hutumia majina hayo kuwakilisha watu halisi.
Sasa kwa nini hawa wakina Adam na Eva wengi walipozaa anatokea Abel mmoja tu au kaini mmoja tu?! Kwa nini wasitokee kina abel wengi ?!
 
Dini zinachanganya akili zetu. Mungu yupo lakini sijui yupo dini gani ? Na Kama hana dini hizi dini zetu na mathehebu tofauti wapi pako sahihi ?
 
Back
Top Bottom