TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

Ulianza vizuri, ukaja kuharibu hapo mwishoni.
 
duh!nashindwa kukujibu,kama una hasira flani,..naona una point kidogo lakini nafikri wanapiga ga miziki yao ili kuwafamisha waliokuwa hawajui au hawajawahi kusikia miziki yao,..us-assume wote walikuwa wanamjua mr.ebbo na mziki aliokuwa anaupiga.
 
lengo linakuwa zuri tofauti na unavyokiria. Kupiga nyimbo zake ni kwa ajili kuenzi kazi zake pia wasiomfahamu basi wapitie kumfahamu kwa kazi zake. Uthibitisho wa tafiti upo kwamba mauzo ya kazi zao huongezeka ktk kipindi hicho.
 
Nina mashaka na uwezo wako.........BTW Clouds wanazipiga?
 
uyu nae ndezi, hajui mr kaacha mjane na ma-kid, so kupitia nymbo zake kupigwa itawaengezea kipato kiaina! mj alipovuta mauzo yaliengezeka maradufu! alafu we dhehebu gan? usikute freemasons! pevuka!
 
uyu nae ndezi, hajui mr kaacha mjane na ma-kid, so kupitia nymbo zake kupigwa itawaengezea kipato kiaina! mj alipovuta mauzo yaliengezeka maradufu! alafu we dhehebu gan? usikute freemasons! pevuka!

usimfananishe mr.ebo na MJ kwa sababu ni watu wa wawili tofauti hata hivyo mashabiki wa marekani na bongo ni tofauti..mashabiki wa marekani wana love ya ukweli na wananunua kazi tofauti na bongo.Toa mfano ni msanii gani wa bongo aliyefariki na kuuza copy nyingi(baada ya kifo chake).Mimi naongelea sana kwa upande wa watangazaji koz ebo aliugua kwa zaidi ya miezi 6 bt no one cared abt it,alivyokufa ndo waleta uzandiki yoo
 
R.I.P Mkuu Mr. Ebo.
 
Attachments

  • RIP 11.jpg
    3.9 KB · Views: 52
for the very first tym dis ponk ass nigga amejitahidi kuongea sense!...
 
duh!nashindwa kukujibu,kama una hasira flani,..naona una point kidogo lakini nafikri wanapiga ga miziki yao ili kuwafamisha waliokuwa hawajui au hawajawahi kusikia miziki yao,..us-assume wote walikuwa wanamjua mr.ebbo na mziki aliokuwa anaupiga.

Wakisha mjua wakati amekufa inasaidia nini?
 
RIP Mr. Ebbo, imempendeza Mungu kuvuna mavuno yake, inauma lakini hatuna jinsi, ni kazi ya Mungu haina makosa.
Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe. AMEN!
 
Najaribu kurusha picha muweze kuona kinachoendelea huku
 
huyu jamaa anataka track za Ebbo zisahaulike yani zisichezwe kabisaaaa, sema nyie hamjashituka tu.
 
Mbunge Wa Arusha Mjini siku ya leo amewataka vijana wote wataka mabadiliko kuungane naye kwenda kushiriki mazishi mwanaharakati huyo wa mziki wa kizazi kipya, Lema amesema hayo alipokuwa kwenye mahojiano na Local media za jijini Arusha. Vijana twendeni tukamzika mwanaharakati huyu aliyekuwa akipinga unyonyoji kwa wasanii wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…